MCHINA ASHITAKIWA KWA KUCHANA NOTI YA SHILINGI ELFU 10

Raia wa China ambaye ni meneja uzalishaji katika kampuni ya ujenzi  Shen Hai,46, amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuchana noti ya shilingi 10,000 ambayo ni mali ya Serikali ya Tanzania.

Akisomewa mashtaka hayo mbele ya Hakimu Mfawidhi wa mkoa Janeth Masesa, Mwendesha Mashtaka wa Serikali,   Castus Ndamugobas alidai kuwa Mchina huyo alitenda kosa hilo mnamo Desemba 3 mwaka jana katika maeneo ya uwanja wa ndege Wilaya ya Ilemela majira ya saa 10:30 jioni ambapo kwa makusudi aliichana noti hiyo  yenye namba AY3748043, ambayo  thamani yake ni Sh10,000 mali ya Serikali ya Tanzania.

Mshtakiwa huyo ambaye ni meneja mzalishaji aliyeajiriwa na Serikali ya Tanzania ili kufanya ukarabati katika Uwanja wa Ndege wa Mwanza, alikana mashtaka yote na alirudishwa rumande baada ya kutokidhi masharti ya dhamana na hakimu Masesa aliahirisha kesi hiyo hadi Januari 8 mwaka huu ambapo itafikishwa mahakamani hapo kwa ajili ya kutajwa tena.

Kitendo  hicho cha raia huyo wa China kuchana noti kilionyesha dharau kwa nchi ya Tanzania na raia wake.

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Safi sana sheria lazima ifuate mkondo wake. Ametudhalilisha kweli ila sasa kazi kwenu vyombo vya dola kuchunguza kwa umakini maana amekana kosa hivyo msije mkamhukumu bila ushahidi wa kutosha.

    ReplyDelete
  2. Hawa kina macho kuvimba wasumbufu na wanadharau sana akipatikana na hati naiomba mamlaka husika imtie nyundo nyingi kwa wageni wengine wenye wenye dharau na dola za watu.
    pumbavu! mitege kama yanakunya vile, hatutaki dharau.

    ReplyDelete
  3. Hawa kina macho kuvimba wasumbufu na wanadharau sana akipatikana na hati naiomba mamlaka husika imtie nyundo nyingi kwa wageni wengine wenye wenye dharau na dola za watu.
    pumbavu! mitege kama yanakunya vile, hatutaki dharau.

    ReplyDelete
  4. huyo mchina mweu sana.. Hapigwe na viboko ili hakitoka haka hadithie kwao kwa halicho kifanya tz.

    ReplyDelete
  5. hafungwe chizi huyo..

    ReplyDelete
  6. mamae zake, anyongwe......kama kaona pesa yetu haina thamani si asingekuja tanzania

    ReplyDelete
  7. Nawapongeza wote kwa kucoment vizuri juu ya wavimba macho hawa.SAFI SANA

    ReplyDelete
  8. Uzuri WA watanzania wote tuna elimu ya uhakimu na uwakili tunajua kutoa hukumu kama kesi ya babu seya mpaka vifungu vya sheria vilitolewa kwa hili tunaongoza

    ReplyDelete
  9. NA SHINDWA KUELEWA VZUR ALCHANA KWA SABABU GAN?HELA HAINA THAMAN AU N RANG YA HELA ?MBONA KAMA N HVYO VYOTE MBONA HATA HELA YAKWAO HAINA TAHAMAN SANA NA UKRNGANISHA NA DORA?MBONA HATA WAO WANA HELA PIA INARANGI KAMA YA NOT YETU YA F KUM?SHENZ KABSA HUYO HYO HELA CIATA ANGEWAPA OMBAOMBA UKO AKABARKIWA!MIE MWENYEWE NMEKOSA HAPA HATA HELA YAKUNUNUA DAWA NAUMIA SANA KUCKIA YEYE CHANA HELA MAFII YAKE KAPISA TENA KAENDELEE KUKANA HIVYO HIVYO ILCKU ZIENDELEE ZA KUKAA LUMANDE MAANA KAKKUBAL MAPEMA KANAWEZA KUTOZWA TU FAIN AMBAYO KANAWEZA HATA KUILPA KAJNGA HAKO KAFUP KA MAV YA MWSHO!

    ReplyDelete
  10. Fumbieni macho suala la haki zabinadamu .DUNGENI LISINDANO LENYESUMU HUYO.

    ReplyDelete
  11. Ni dharau kubwa sana kwa nchi yetu, achukuliwe hatua akibainika amefanya hvyo

    ReplyDelete
  12. WATANZANIA KWA KURUPUKA NA HUKUMU ZETU ZA MAJI YA MOTO NO WONDER TUPO HAPA TULIPO LEO. EE MUNGU TUSAIDIE. YANI HUKU KUKURUPUKA KWETU MMH.

    ReplyDelete
  13. Mnawaita wavimba macho wafupi kama mavi. Bt hehehhe. Malimuzini mpaka ya kunyea mumo mumo mnayapokea kwa kutoa udenda. Hehehe vya bure tunavipendaa na dharau tuzipokeee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad