MCHUMBA WA MTU AAGA ANAKWENDA KWA BIBI YAKE MGONJWA KUMBE ANAENDA KUUZA MWILI WAKE..AKAMATWA

Stori: Issa Mnally na Dustan Shekidele, Morogoro
OPARESHENI Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers si mchezo! Safari hii imenasa tukio la mchumba wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Jose kuuza mwili.

Tukio hilo lilijiri eneo maarufu la Baa ya Kaumba iliyopo katikati ya mji kwenye Mtaa wa Makongoro, mwishoni mwa wiki iliyopita ambapo OFM na polisi walikuwa kwenye oparesheni za kufichua uovu wa biashara haramu ya ngono.

Kwa mujibu wa mchumba huyo katika mahojiano na OFM, aliaga kwao Kilosa kuwa anakwenda Morogoro mjini kumuuguza bibi yake ambaye ni mgonjwa.

OFM NOMA: Mchumba wa mtu na wenzake wakiwa mikononi mwa OFM na Polisi.


Tofauti na matarajio ya familia yake, mrembo huyo alikwenda kukita kambi maeneo hayo akijihusisha na biashara hiyo haramu eti kwa madai ya kusaka fedha ya kununulia sare za harusi yake ambayo inatarajiwa kufanyika Februari 15, mwaka huu.

Jumatano iliyopita, OFM ilipokea simu kutoka kwa dada mmoja ambaye alieleza kuwa kuna ‘shori’ ambaye ni mchumba wa mtu anajiuza katika viunga vya Kaumba.

Dada huyo aliendelea kueleza kuwa yeye ni mmoja wa wajumbe katika kikao cha harusi ya dada huyo huku akiwa ameshachangia shilingi elfu 50 lakini alishangaa kumuona maeneo hayo hatarishi.

“Niamini mimi, tunakaa naye Mji Mpya (Morogoro). Hata fedha za advance ya ukumbi, vinywaji, MC na muziki tumeshalipa na harusi yake inatarajiwa kufanyika Februari 15, mwaka huu.
Baada ya kunyetishiwa habari hizo, kikosi kazi cha OFM kiliingia mzigoni kwa kushirikiana na dada huyo ambaye alivalishwa ‘beji’ yao na kufanikisha kunaswa kwa mchumba huyo.

OFM ikishirikiana na polisi wanaojua kujituma kwenye majukumu yao walimtia mbaroni dada huyo akiwa katika pilikapilika zake za kunasa wanaume huku mmoja wa vijana wa OFM akijifanya mteja na kupatana naye bei ya kuingia chumbani kwa ‘shoti taimu’.

Baada ya kunaswa, mwanadada huyo alikiri mbele ya OFM kuwa ni bibi harusi mtarajiwa.
“Jamani… jamani ni kweli mimi ni mchumba wa mtu, shetani ameniponza nisameheni,” alisema.

Hata hivyo, kilio chake kiligeuka cha samaki kwani hakikusikika, yeye na wenzake walionaswa walipelekwa moja kwa moja katika kituo kikuu cha polisi ili kupisha sheria ichukue mkondo wake.

Post a Comment

9 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mchumba wa mtu! mchumba wa mtu! kwani kuna mchumba wa nyani?? hii opareshec OFM siielewi kabisaaaaa! iafaida gani? afu wenyewe wanajisifia wanajua mitego.ss tumeshawachoka nakufichua mambo yasiyo na maana kufatilia tu issue za umbea! kunambo kibao maovu yanaigharim nchi yetu ufisadi,tembo wanaisha,ujambazi baada ya kudil na hayo kazi kufatilia upuuzi tu!!

    ReplyDelete
  2. Wajinga sana hao kwanza somba somba ya pollisi huwa haina macho unaweza kukumbwa hata kama wewe co muhusika huyo dada cjahamini kama alikua anajiuza hata kidogo waajinga ndio wataamini

    ReplyDelete
    Replies
    1. acha kupost usenge picha inajieleza yenyewe iyo!

      Delete
  3. anoy wa kwnz na wa pl mnakurupuka kama ushuz wa mseng!! muhuska kakr nyie mnabsha nn? inaelekea na nyie pia ni wauzaj, bado nyie wauza kuma zilizooza hamjui hata kuosha! mamamamaeeeeeee zenu!!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ckujui hunijui kwa hiyo mineno exctly unafanana nayo ss nikujibu nn kwamfano?!? unashinda ktk blogs kutoa matuc nijins gani unastres za maisha! ndo yameshakuacha hivyo.. hata utoe mituc mtu ka mie nakupisha tu coz huna point ya kucoment zaidi ya mitic! mtaani kwenu wanakujua hamnazo na ktk blogs pia unataka kutuhakikishia kichwa chako kimejaa nn!!! lol ulivyotukana ukapata nafuu etieee...maskini mi ni anony wa kwanza bye debe tupu...

      Delete
  4. HIV NYIE OFM MUACHE UMBEA MBOO ZENU KUBWA KAZI KUFUATILI ISHU ZA WA2 CYO KWELH HII NI HABARI YA UONGO MBOLO NYIE

    ReplyDelete
    Replies
    1. naona imekuuma sana ww kwani unauza bei gani??

      Delete
  5. Nyie ofm hebu kamateni wezi wanaotumia pikipiki ndio tutajua kweli mnajua kazi sio mnaonea hao malaya tu

    ReplyDelete
  6. wewe Anonymous,January 27,2014 at 6:49 comment yako nimeipenda hongera zako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad