NIGERIA. Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.
Pastor Frank Kabele mwenye umri wa miaka 35, aliwaambia waumini wake kuwa mtu mwenye imani anaweza kufanya miujiza yeyote ila tu uwe na imani. Aliwaahidi wafuasi wake kuwa atatembea juu ya maji pindi tu atakapomaliza maombi yake.
Lakini mambo yalienda ndivyo sivyo baada ya pastor huyo kujaribu kutembea katika mto mkubwa, alididimia mtoni humo na ilikuwa vigumu kwa waumini wake kumsaidia kwani maji yalikuwa na nguvu nyingi.
MHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU
16
January 03, 2014
anafanya utaniii
ReplyDeleteAngefanikiwa huyu angepata wafuasi wengi SANAA…..vinyoka vyake vimemuangusha tu ...
DeleteAnadhani mwenyezi mungu ni wa kujaribiwa?hapo alikuwa anamjaribu mola na wala si kumuomba.
ReplyDeleteJamani,,,mbona blog hii,,mnarudia history ya zamani mnoooo.
Deletehiki kitu kilitokea huko Mombasa Kenya zamani mno,,,na huyo muhubiri wala hakufa aliokolewa,,,Labda kama imetokea nyingine huko Nigeria...
Hata hivyo ni kweli 'Imani ya mja ni kifuani mwake no need showing up!
Lol..kujifanyaga ni waungu , muachieni Muumba kazi yake!
ReplyDeleteAdmn hapo naomba unirudishie change yangu tafadhali.! Nahisi kama naibiwa. Hebu kwanza tutafakari hii picha, huyu unayemwita pastor alikuwa anahubiri peke yake mbona kondoo wake hatuwaoni? Halafu mpaka azame ghafla hv alikuwa anahubiri akiwa ktkt ya mto? Nijuavyo mm mtu ukiwa unayaingia maji either ya bahali, ziwa au mto huwa yanapanda polepole sasa huyu vp.? Na mpiga picha je alijiandaa na tukio?
ReplyDeleteWe mbuzi hiyo pic tu inayomaanisha hilo tukio sio pic halis...unatumia matako kufikir nn shenz
DeleteKijana umekuwa uktukana saana cjui unanini?kuwa na hofu na Mungu bhana co unatupa mimatus had bas..
Deleteusimjaribu bwana mungu wako
ReplyDeletekwa imani ya rohoni tutapona na sio kwa imani yakujitafutia hela.
ReplyDeletecku zote mungu hajaribiwi.
MWACHE AFE WANADANGANYA SANA WATU KUMBE NI WASHENZI TU.
ReplyDeleteseriously alivyozama haikuwezekana kumuokoa???.... mmmmh
ReplyDeleteHahahahaha jamaa katisha sana
ReplyDeletebora kafa.angepona angejfanya mungu mtu
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDeletedah bora mwe! maana ingekuwa mwsho wa dunia
ReplyDelete