MIE SIELEWI HAPA-ETI UTAMU WA MUME MUWE WANNE...MHH

Waswahili tuna mambo Embu ona ujumbe huu kwenye Khanga ..Alafu uniambie kama ni kweli ..Maana mimi sielewi kabisa hapo...

Post a Comment

13 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Pengine labda wewe ni dini ingine tofauti na uislamu, ujumbe huo ni mahsusi kwa waislamu ambao wameruhusiwa kwa sheria ya dini yao kuoa wanawake hadi wanne. Hivyo sio waswahili bali alieweka ujumbe huo amewahamasisha na kuwakumbusha wanawake wa kiislamu.

    ReplyDelete
  2. Hatareeeeeeeee!2tupona jaman kama ndio hvy?

    ReplyDelete
  3. Yaaah kweli kabsa

    ReplyDelete
  4. may is fact coz when those wives w'll b about 4 each 1 w'll show full respect 2 her husband and hard love when he is 2 another wife also
    thc reduce the load of works in carelling him and make the wife looks so shine and beutfully daily

    ReplyDelete
  5. Mi nimuislamu na sikubaliani na kuowa wake wanne juu ya matamanio,qurani imesema,tu pindi kuna mayatima,ndio uowe wake wanne,do that to help their widowed mothers n the orphans,sio juu ya matamanio kama waume wa siku hizi

    ReplyDelete
  6. thank you 8;54 for give us a lesson about reality of thc writtings from HOLLY QURAN

    ReplyDelete
  7. Hata Mungu anajua utamu wa mume uwe peke yako ndio maana aliwaumba adamu na hawa tu tusidanganyane hizi story zingine ni watu walileta kwa tamaa zao ndio maana mtu anaoa wanne na bado anavimada

    ReplyDelete
  8. Kuwa na wake kumi ama ishirini siyo tatizo lakini uwezo wakulea vipi upo, je kutii kiu ya mapenzi waweza kama waweza fresh. Hii ni kwa hisani ya tunao amini dini za asili.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad