MISS TZ, DEMU WA PREZZO WACHUANA KWA ZA UTUPU!

MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya kupiga picha za utupu.

Huddah Menroe.
Hamisa ambaye hivi karibuni alipata zali ya kupamba jarida moja la burudani nchini Kenya kwa picha iliyo kinyume na maadili, anadaiwa kupiga picha nyingi za kihasara huku ikielezwa kuwa, kwa Kenya sasa anachuana na Huddah.
Hamisa.
Huddah.
“Unajua kwa huku Kenya Huddah anasifika kwa picha chafu, sasa hizi alizopiga Hamisa zimemfanya Huddah naye kutupia yake nyingine ya utupu, yaani ni kama wanachuana vile,” alisema mmoja wa wadau wa burudani aliyejitambulisha kwa jina la Japhet.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio malaya walivyo hakuna cha kushangaa hapo huyo
    mdem n bitch tu!

    ReplyDelete
  2. Umalaya tu hawana lolote

    ReplyDelete
  3. Jamani Hamisa,ulivyo mrembo hivyo mdogo wangu,kwa nini unafanya mambo ya ajabu?kujidhalilisha tu!

    ReplyDelete
  4. Fuck hamisa y dat huendani na hayo mambo mamitooo ni nn watafuta mama

    ReplyDelete
  5. Ni mrembo bt hana nyota ya kupendwa kiiiivo so anajarb kuivuta kwa nguv,mbona pooooole hamisa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad