Web

MLINZI AFUKUZWA KAZI BAADA YA KUMPIGA PICHA BOSS WAKE ALIYEKUWA AKILA URODA KWENYE GARI

Jamaa mmoja alijikuta kibarua kikiota nyasi baada ya kula chabo bosi wake na kumpiga picha bosi wake huyo aliyekuwa akila uroda ndani ya gari kwenye parking. Jamaa akielezea The ClickTz, kuwa boss wake huyo alipo ingia getini alikaa sana kwenye parking nikama vile alikuwa anambembeleza mtu aliyekuwa nae kuingia ndani, mara yeye mwenyewe aliingia ndani kisha kutoka nje na kurudi kwenye gari, mara nikaona gari inacheza, mara tena kidogo mlango wa gari ukafungulia nikamuona boss wangu akishughulika vibaya sana, inawezekana aliona ndani hapatoshi akaamua kufungua mlango na kushugulika akiwa nje. kumbe alikuwa ameshaniona wakati ule nikiwa nakula chabo. kesho yake asubuhi aliniita nakuniuliza ile picha niliyompiga iko wapi. mimi nilikaa kabisa kama sikufanya kitendo hicho ila aliamua tu kunitimua na ndio huo ulikuwa mwisho wa mimi kufanya kazi hapo kwake. Noma sana
-ClickTz

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Boss nafikiri alikuwa akila uroda na yule Anti Asuu, maaana ile Miguu ilivyofanya Vijimbi kama mchezaji mpira.

    ReplyDelete
  2. fukuza msenge anaingilia mambo za watu...!!

    ReplyDelete
  3. za kwenye majini au kwenye gari ni tamu kuliko kitandani

    ReplyDelete
  4. za kwenye majini au kwenye gari ni tamu kuliko kitandani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad