Kwanza ni declare interest mimi ni shabiki wa man u na haya ninayoongea hapa ni kwa mtizamo wangu sio lazima ufanane na wa kila mtu.
Nionavyo mimi moyes sio kocha sahihi wa man utd na timu isipoangalia kuchukua jitahda za makusudi inaweza kuja kuwa kama liverpoool ya miaka mitatu nyuma.
Cha kwanza timu ambayo imechukuwa ubingwa last term kwa kikosi hikihiki ambacho kipo sasa hivi haipswi kushindwa walau kuingia kwenye top four tena kuna wachezaji wa ziada kama januzaj ambae kwenye kipindi cha ferguson hakuwepo ,kwa hali ilivyo ndugu zangu wa man u na mshabiki wa timu nyingine tusijidanhanye timu haiwezi kumaliza top four huo ndio ukweli hata kama tutapinga na kuleta historia za nyuma kwa sababu hatuna wachezaji wa kutuwezesha kushinda mechi kubwa,ngumu,zenye presuure na consistency pia na leo asubuhi kuna maelezo yameonekana internet kwamba moyes anaweza asisiasjili mpk msimu ujao nikimnukuu "Most of the business will be more towards the summertime, rather than January." Sasa ndugu zanguni ka\wa kikosi cha sasa hivi tuseme usajili afanye kipindi cha sumer na msimu huu ana mpango nao gani?
Cha pili yeye ameteuliwa toka mwezi wa tano mwaka jana alikuwa na na miezi mitatu ya kuweza kufanya usajili kipi kilimshinda kufanya usajili kipindi hicho cah summer time aje weze kipindi hiki cjha summetime kinachofuata??? Na kama alijua kwamba uwezekano wa kusajili January ni mdogo kwa nini hakusajili kipindi icho cha summer time.
Cha tatu kwenye uefa man u haijafungwa hata mechi moja na mechii zoote kagawa amecheza sasa hapo haoni kwambba kagawa ana mchango na timu ya man u icheze vizuri na kutofungwa kwa nini kagawa huyohuyo asimtumie katika epl ili aweze kuiopa timu ubingwa kagawa orgnal yake ni namba 10 lakini pale inatumiwa na roone y so kwa yy ni vigumu kucheza kwa nini asimpange namba 8 naamini ataperform coz ana experience.
Cha nne kuendelea kutumia mfumo wa ferguson mpira wa kisasa watu wanatumia middfielde na sio ule mpira wa kizamani wakutumia wings na kama unatumia wings basi wings ziwe kwenye ubora kama za Bayern(riber na robben) hivyo either ubadilishe mfumo au sajili wings zenye ubora ambayo kwa yeye hajafanya hata moja.
Cha tano hajui anamtaka nani kwenye dirisha la usajili kwanza alisema ananmtaka thiago baada ya kushindikana akamtaka fabregas nay y baada ya kushindikana akahamia kwa Herrera cha ajabu zaidi hapa eti amtu yupo spain yy yupo uingerza alafu anataka afanye usajili siku ya mwisho bila hata ya kuwepo mwakilishi wa man u spain hivi swaala hilo linawezekana vipi??? Wote wako man u yy na mtu wa usajil???
Pia ameshindwa kujua man u inataka mtu wa ina gani yy ameenda kumsajili fellaini kwangu mimi sio usajili sahihi coz felaini everton alikuwa anacheza namba kumi na man u namba kumi zimejaa ambayo ni rooney,welbeck pia anaweza akacheza hiyo lakini pia hata kagawa hiyo ndo anamba anayoifurahia alipswa kusaji likiungo mchezeshaji na mwenye skills amabe ni world class player mara kumi hata angemsajili sneijder japo umri umeenda.
Pili tumemenunu fellaini kwa pound m 27 milioni wakati yeye moyes ndiyo aliyemsajginisha everton na mkataba wake ulikuwa unasema kabala ya tarehe 22 august atauzwa si zaidi ya pound m 23 na yeye alikuwa analijua fika matokeo yake kasubiria mpk tarehe 31 august sasa kama alikuwa anamtaka toka zamani kwa nini kasubiria mpk onhgezeko la thanmani katribia pound m 4 nzima wakatia angeweza kumsajili kwa bei rahisi ?
Cha mwisho kutopangilia safu yake vizuri ya beki Rafael ni mzuri kucheza namba mbili lakini anapoumia anaonekana kushindwa kumtumia Fabio ambae kwangu mimi ndio ningempanga mbadala wa Rafael coz alishacheza kipindi cha ferguson na akamudu lakini pia kaceza qpr so anaexperience Fabio anajua kusahambulia na kukaba tofauti na samaliing anayemtumia mabae sio mzuri kwenye mashambaulizi ya ghafla na hashambulii vizuri kama ambavyo Fabio angefanya pia evra huyu anaonekana kuchoka nahisi imefikia time ampe nafasi buttner amwonyeshe kwamba anaweza akarithi namba ile buttner anajua sana kushambulia evra napitwa sana na saa nykngine mipira ya kizembe tu hii ni kutokana na uwezo kushukua,umri na kucheza mechi nyingi kwa hapa inambidi aangalie mbadala wake la sivyo naicost timu kwa namna moja ama nyingine.
Kwa leo nisiwachoshe naomba niishie hapo hayo ni maoni yangu naruhusu na maoni yenu pia wadau wenzangu wa mpira,karibuni
Moyes mbona kocha mzuri apewe muda hata fergie hakuanza vzr!
ReplyDeletewe acha kutuchafua peleka njozi zako uwanja wa taifa. stori zako kauze kwenye vikao vya gongo
ReplyDeleteMoyes mbona ni kocha mzuri 2
ReplyDeleteUchambuzi wako wote famba na hujui kitu. Kwani lazima kila siku man ishinde we unajua nini kuhusu makocha wa timu za EPL? We twendelee na kinawambeki na mwaikimba hao waachie wenyewe wewe hujui kitu.
ReplyDelete