Zitto, ameamua kumrudi Lissu kwa staili nyingine kwa kwenda moja kwa moja na kummaliza Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kwa sababu anayo makombora mengi makali ambayo hapo kabla aliyaficha ili kunusuru chama.
Chanzo chetu kimesema, Zitto amekasirishwa na mashambulizi kutoka kwa Lissu na kwamba baada ya kukaa kimya muda mrefu, sasa uzalendo umemshinda, kwa hiyo kinachofuata ni mashambulizi mwanzo mwisho dhidi ya Mbowe.
“Huu ni mpango endelevu, Zitto anajua kwamba maneno ya Lissu ni ya kulishwa, mhusika ni Mbowe, ndiyo maana amesema hataki majibishano na kifaranga, anamtaka mama wa kifaranga ajitokeze,” alisema rafiki wa Zitto kwa sharti la kutotajwa jina na kuongeza:
“Mpango uliopo ni kukabiliana na mama wa vifaranga, yapo mabomu mengi ya maana ambayo Zitto anayo dhidi ya Mbowe, anachosubiri ni hukumu ya pingamizi lake mahakamani kuhusu Kamati Kuu ya Chadema kujadili uanachama mpaka itakampo fursa ya kukata rufaa Baraza Kuu.”
Hukumu hiyo, ilitarajiwa kusomwa jana Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji John Utamwa.
Jumapili iliyopita, Zitto alisema kuwa maneno yanayozungumzwa na viongozi wa Chadema, mengi yakipitia kwenye kinywa cha Lissu ni sawa na mipasho kwa sababu hayamo kwenye tuhuma 11 ambazo walimwandikia azijibu kwa maandishi.
Kwa upande wa Mbowe, alinukuliwa akisema kuwa Zitto hapaswi kuibua tuhuma mpya dhidi yake, isipokuwa anachopaswa kufanya ni kujibu yale ambayo anatuhumiwa, huku akiyaita maneno ya mbunge huyo wa Kigoma Kaskazini ni ya kitoto.
GPL
zitto ndio maana anaambiwa ana mbo ya kitoto sassa anataka kutuambia nini ambacho alishindwa kurekebisha wakati akiwa namoja na wenzake wa chadema aamelikoroga sasa anatafut wakulinywa tunaomaba tu akaee kimya kwani manena atakayoyazungumza wengi wataonani mfa maji hakosi kutapatapa yeye alishindwa nini kuyarekebishakipindi akiwa chadema kweli bado hana kifua kidogo tuu anahaha mahakamani hivi ataiwza ikulukwali huyu kama siatatoa siri za ikulu awepo huko bado hajaivya kisiasa aangaliye ccm hata afukuzwe mwanachama kwa utovu wanidham hakuna kutoa siri
ReplyDeletesi mlimuanza wenyewe na maneno yenu yeye kujibu mnaona kakosea,huyo lissu mbona anamtukana sana zitto na mlikua mnaona poa tu...Zitto funguka tu mpaka wakome hao,na Zitto hakusema toka awali hayo madudu yenu kwa sababu ya kukilinda chama sasa mnamchafua acha nae awatiririkie..mnajifanya wasafi kumbe mafisadi tu,tumashawajua na manina zenu mtabaki wenyewe na saccos yetu..
Deletesorry hapo namaanisha yenu na si yetu...
ReplyDeleteumeeleweka kaka usiwe na wasi tulia Kabwe adondoke chadema tuone kama wataipata hyo dora wanayohc ndo wakat wao , Zitto kabeba wanachama weng na akiondka chadema anaondka nao tuone ujanja wenu sasa,
ReplyDeleteMi mmoja wapo....
ReplyDeleteNi wazi kuwa Zitto ataendelea na ubunge wa mahakama hadi 2015. lakini huo ndio mwisho wake CHADEMA, hata afanye nini hawezi kuwa mwanachama tena wa CDM wala kugombea uongozi hata kama Mahakama itaendelea kudai ni mwanachama. Wasaliti wote huishia kubaya wako wapi kina Lamwai, Mtopea, Jidawi. Bei aliyofikia ndio ya mwisho baada ya sasa hatakuwa na bei tena wala cha kuuza.
ReplyDeleteHaiwezekani mtoto mdogo yeye ajifanye ndio anajua kuliko wote katika CDM, anasema ameitoa mbali anaweza kujilinganisha na walioianzisha katika mazingira magumu kama Mzee Mtei; makani na Mbowe? mchango wake ukipimwa unaweza kuufikia wa Mowe?
Kunu watu wamekuwa wakisema Zitto ana elimu, mara nyingi mtu mweusi anaposoma ndio anazidi kuwa mpumbavu ni wachache wanasoma wakaelimika. Mbowe ana elimu ndogo ya kukaa darasani lakini kaelimika kuliko Ztto. Ndio maana ukipima kwa haki wakati anapokea uongozi CDM na sasa na kulinganisha na wenyeviti wa vyama vingine kama wewe sio mnafiki utaona Mbowe ndiye aliyejenga chama kuliko hao wengine.
Ingawa CDM huko nyuma walifanya kosa kubwa la kumvumilia Zitto ndio sababu alijiuona mjanja kuwa anaweza kufanya usaliti bila kujulikana.
Jambo moja dhahiri ni kuwa huwezi kuiua CDM hata upewe bilioni ngapi na utashia kuwa kama karatasi ya chooni..
Wewe wa kumtuhumu Mbowe kwa uzinzi? miaka 37 huna mke unazini tu kama ungekuwa mahali sheiaza dini yako zinafanya kazi ungeishapigwa mawe hadi ufe.
Hivi tukisema tupange kwa haki wanasiasa wazinzi toka vyama vyote Mbowe atakuwa juu kuliko wanasiasa wengine ukiwemo wewe?.
Unakataa posho unachukua rushwa.
Taratibu kada wa mbowe futa povu mdomoni ndio uendelee kha...
DeleteMbona ccm mapovu yanawatoka mdomoni, mate mpaka mnafanya computer na simu zizime, mambo ya msondo mwacheni gurumo.shughulikieni uchafu wenu kwanza na muache cdm wa handle matatizo yao.
ReplyDeleteWw apojuu msenge unahata point unaongea kuma tuu watu wanaowa lakini wanatomba nnje ufisadi wenu ausiani na kuowa eti mbo ndogo mbona mkeo anakuma kubwa makontena na mabehewa yanapita tena naisi ww msenge uwo mkundu umezoe mbo za pete zitto achana na mito hao ww ni jembe tena upo juu achana na watoa vizazi zimepitiliza heheheeeeee halooooooooo! Mmefuria.
ReplyDeletesasa wewe ccm mbona matusi? matusi ya nini sasa, ndo inaonyesha mlivyo malimbukeni, mpo tu mtatawaliwa na kuibiwa na kubaki kulalama tu, ooh maisha magumu, umeme bei juu bila hata kujua ni sababu gani, hiki na kile, lakini bado mtabaki kuwapigia makofi na kuwashangilia, ni ulimbukeni wa hali ya juu!! tafadhali funguka na kubali mabadiliko, lakini kama wewe ni fisadi mmojawapo sidhani kama utanielewa kwa hili, huyo zito ni msaliti tu, na siyo mtu mzuri kabisa kwenye jamii, alianza na chadema kwa kupinga unyonyaji na kutetea wananchi, kumbe alikuwa anatafuta maisha yake na kayapata sasa amesahau alipotoka, very nonsense guy.
ReplyDeleteFREEMAN AIKAEL MBOWE NI JEMBE!! wewe zito kobwe ni kifaranga tu, si ndo yeye aliyekuja kukuibua huko chuoni umekonda kama mpera na akakufikisha ulipo, sasa hivi unamdharau halafu unajiita msomi!! kweli shukrani ya punda ni mateke, nadhani unalijua hilo na usomi wako!!!
ReplyDelete