MSANII WA KIMATAIFA KANYE WEST AANZISHA DINI YAKE

Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website kwa ajili ya waumini inayoitwa Yeezanity.com . Wafuasi wa dini hiyo wanatumia sanamu linalofanana kabisa na uso wa Kanye West. Founder wa dini hii alisema ““Kanye West is the most honest person in our culture.He has the highest moral standards and highest integrity. He is the most creative person. And as it’s typical with creative people, he gets a lot of flack from the lower minded masses. It’s not even that they don’t like him, it’s that they don’t know what he’s doing because the press gives it this negative spin all the time”

Ukitaka kujiunga na dini hiini rahisi sana.Unachotakiwa kufanya ni kuwatumia email yenye picha isiyokutambulisha ukiwa umeshika karatasi lililoandikwa ‘I Believe In Yeezus’.

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bangi nyingi huyo!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ohhh awaulize Waco texas yaliyowakuta.mnakumbuka Yule mtu aliyeanzisha Dini yake na akawaweka watu Kwenye compound moja akawazazisha na walimwabudu .Bill Clinton alivyorusha bomu Kwenye compound na kuchoma moto na bahati mbaya watoto walikufa.Its illegal

      Delete
  2. jaman Mungu tusamehe

    ReplyDelete
  3. King of drama uyo lazma kuna ki2 anata kutoa uyo

    ReplyDelete
  4. Amekufuru, inaitajika asaidie kimaombi na watu wa Mungu

    ReplyDelete
  5. Mungu hachezewi bangi zake asicheze na mungu,mungu amchome hadharani iwe fundisho kwa wengine

    ReplyDelete
  6. Hakuna kitu hapo ni mbinu za ILLUMINAT NA FREEMASONI si yupo chini yao anafanya alichiagizwa na shetani yupo kazini

    ReplyDelete
  7. Laana tullah kesho kwa allah utajibu vizur, mungu akulaani na mitume wakushindilie...

    ReplyDelete
  8. this guy is a devo,he has always claimed to have sold his soul to the devil,im not surprised

    ReplyDelete
  9. Replies
    1. Kabisaaa mdau,siku za mwisho Dini mbalimbali zitaibuka.

      Delete
  10. Mnao badli dini kuweni makin maana mkisikia madhehebu mapya mnaenda mtabdu hata vimelea vya shetan.

    ReplyDelete
  11. Kwl siku za mwisho mengi yatatokea Bible say

    ReplyDelete
  12. Huyu tuseme sijui bangi limemchanganua au ndio kachanganyikiwa na mambo ya ulimwengu!!!! Maanake hizi pesa nazo zikidi na shetani anakutumia kweli kwa kukuchanganya, anajiona kama Shuti mtume, kumbe unakuwa mtumwa wa yule muovu Ibirisi, ali apate wavuta na wengine, hmmmm

    ReplyDelete
  13. the world is coming to an end lol

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad