Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa Marehemu Whitney houston, Bobbi Kristina amevunja mapendekezo ya familia yake ya kutoolewa na kijana ambae ni kama kaka yake, mshkaji ambae alilelewa toka mdogo na Whitney na wao wote kuishi nyumba moja.
Pamoja na kushupaliwa kutoolewa, Bobbi ambae ana umri wa miaka 20 amethibitisha kuolewa na boyfriend huyu aitwae Nick Gordon ambae wamekua mapenzini kwa miaka kadhaa ambapo sasa hivi kama wanajipanga kuja na show yao ya TV.
Yani umechukua habr hata kuedit huedit. Kuna maneno ambayo huwezi kutumia maana hayahusiani na blog yako., km MMU, kuaplify nk.
ReplyDeleteHUyp kaka mwenyewe si wa kuadopt, mama yake alimuadopt, kwa hiyo huo ukaka ni wa kuadopt, not the same gene
ReplyDeleteADOPTION BROTHER,MAMA ALIMUADOPT, KAKA WA KUADOPT
ReplyDelete