Web

MWALIMU GANI MKALI AMBAE ULISHAWAHI KUKUTANA NAE KATIKA MAISHA YA SHULE?

Katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na Mwl.Chavala,Mwl.Kinyogori,Mwl. Bango,Mwl.Getwa,Mwl.Buchwa aisee hawa walimu sitawasahau kamwe. maticha,walikua wana mwaga stiki kama hawana akili nzuri aisee,
then makongo kulikua na Kisarika, Yeyeye,Malongori na Afande Miraji (thou hakua mwalimu). ebana kuna siku tulipata msala asembo baada ya kuimba vibaya wimbo wa taifa, huwezi amini marehemu Afande Miraji single-handedly alizungusha stiki shule nzima kwanzia form 1-6 pale asembo af akarudia raundi mbili. kuna jamaa kesho yake akaomba uhamisho baada ya kukamatwa tena na afande miraji hakwenda zamu akala stiki 15 za adabu. vp mwl gani ushakutana nae hadi leo huwezi msahau?
Bdonlucchese

Post a Comment

21 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwl Monyo,mwl Nyakizee,mwl Lukindo.shule ya msingi SUA hyo

    ReplyDelete
  2. Mwl Pyuza na mwl Mwatenga songea girls we acha tu.

    ReplyDelete
  3. Mwalim lyoka jaman chadulu

    ReplyDelete
  4. Mwl jelome,mwl balsidia,mwl munisi.msanga shule ya msingi.kidato mwl mazengo,mwl cosmas,mwl mwenda. chamwi sec.sita wasahau walimu hawa.

    ReplyDelete
  5. Heeeeeee hujanichapia mwanangu hivyoo aiseeee, mamaeeeee

    ReplyDelete
  6. Mwl ngonyani aka lete mwanzi, Mwl Judith kayombo na mbawala C.F.Primary Luhimba.Bernad aka mayunju,Sanga na Simwaba St benedict sec.Mpelembwa na Mazengo Tosa boyz

    ReplyDelete
  7. Mwalimu Umande Highlands High School - Iringa yaani huyo sio mchezo waliosoma hapo wanamjua

    ReplyDelete
  8. MWL SWILA MBY SEC. SCHOOL, MPAKA AKANIFUNDSHA KUPIIA UKUTANI

    ReplyDelete
  9. Sanga aka kingongoks @ upanga primary n nenei.dah walitixha

    ReplyDelete
  10. Mwl Pascal, mrienyi pr school

    ReplyDelete
  11. Bakari kitambulio20 January 2014 at 13:51

    mwalimu Daniel,mwal Baraka,mwal Angetile na mwal Tisoko sm Mtoni walikuwa noma na mwalimu mbolembole aka MJ sm Temeke

    ReplyDelete
  12. sandali noma sana. alinikata stick nikiwa nipo hospital ndanda. kuma sana huyo jamaa. ila tulimtimua!

    ReplyDelete
  13. Mwl. Mazara Jitegemee secondary duhh

    ReplyDelete
  14. watu wanaosoma hii blogu wameenda shule za ajabu sana, mlijuaje kutumia internet?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kumalamamaako mtaje mwl aliyetisha

      Delete
    2. Kwa mamaako kuma we...

      Delete
  15. Lobilo-Umbwe boyz,huyo ni noma enzi zake na alikua english zero huyo.
    KONSO nae alituuzia katizi japo sometimez tulimuibia.

    ReplyDelete
  16. Mwl Ndosi wa Muhimbili primary,huyo alikuwa balaa,wanafunzi walosoma mitaa ya town mnampata na kwa wale mlosoma Kisutu girls,mnamkumbuka Missana na Manyama? Loh! Ni ngumu kusahau zile stick

    ReplyDelete
  17. Igenge na titus mzee wa lenz mbonyeo lake prmry!sec james lingwa na joseph martin aka literature

    ReplyDelete
  18. mwalim masawe "baba" a.k.a kiibega miaka ya 90 kule shule ya msingi TANDALE @ ABEID LY 93

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad