MWANAMKE AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA AIRPORT DAR ES SALAAM.

MWANAMKE Mtanzania, Salama Omari Mzale, amekamatwa jana- katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akisafirisha dawa za kulevya kwenda nchini China.

Hadi leo saa nane mchana amekwishatoa kete 27 kwa njia ya haja kubwa.

Mwanamke huyo mkazi wa Mbagala Kongowe, anaendelea kutoa kete hizo katika vyoo vya Uwanja wa Ndege.

============
UPDATE:
Hadi saa 1 jioni (mida ya Tanzania); mwanamke huyu amekwishashusha kete 63!
============

Rai yangu:
Mwanamke huyu abanwe kisawasawa ataje alikoupata mzigo na huko ulikotoka ufuatiliwe hadi chain nzima iweze kujulikana na umma ujue hatma ya wahusika.


Post a Comment

17 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Na bado huu mwaka wao punda wasenge wakubwa hao kufirwa ifirwe na madawa ibebe manina zao

    ReplyDelete
  2. Wacheni kuwaficha surazao waonesheni uma uwafahamu

    ReplyDelete
  3. Onesheni sura ya mshitakiwa msituoneshe kiwaja ch ndege

    ReplyDelete
  4. Hata siku moja haijawahi kutokea mtandao wawanaouza unga wakakamatwa au kutajwa , wataishia hao hao wanaokamatwa nao japo nao haijulikani wanaishia wapi baada ya kukamatwa! Pia kunatetesi kuwa watu wanakimbilia kupealeka unga china kwasababu hawawezi kunyongwa au kufungwa miaka mingi kwa sababu na sisi watanzania tuna wafungwa au watuhumiwa wa kichina, hivyo muosha huoshwa!

    ReplyDelete
  5. Hata siku moja haijawahi kutokea mtandao wawanaouza unga wakakamatwa au kutajwa , wataishia hao hao wanaokamatwa nao japo nao haijulikani wanaishia wapi baada ya kukamatwa! Pia kunatetesi kuwa watu wanakimbilia kupealeka unga china kwasababu hawawezi kunyongwa au kufungwa miaka mingi kwa sababu na sisi watanzania tuna wafungwa au watuhumiwa wa kichina, hivyo muosha huoshwa!

    ReplyDelete
  6. Halafu hz kete baadae huwa zinaenda wapi? Kwann mnatufanya wajinga kila siku.? Wakikamata bidhaa feki za wachina wanajifanya wanazichoma hadharani, hayo madawa je huwa yanafanywa nn? Au ndo ile kauli "punda afe mzigo ufike." Au kuna anayejua hatima ya haya madawa baada ya kukamatwa yanaenda wapi wadau wenzangu manake mm sielewi..!

    ReplyDelete
  7. Unadhani ni wapumbavu wateketeze mali ya mabilioni?mtadanganywa umma tu na wala hamtajua hatma yake,Kwa mfano mi ni mkenya kuna siku nilisafiri na mwanamke mtz tulipofika border ya sauzi sikuamini macho yangu kwani ilinisiktisha sana jinsi mwanamke mwenzangu alivyodhalilishwa kwa kupekuliwa,kawaida mkenya huwa hata hawajishughulishi na kukupekuwa watakuruhusu upite ila mtz anawekwa chemba alafu anapelekwa chooni basi yule dada alipatikana na unga wakauchukua huku wana furaha tena wakauficha wao manake watakwenda uza wao,jamani badilikeni mnadhalilisha ndugu zenu wengine innocent kabisa.

    ReplyDelete
  8. Mamaee hapa mcnge mshka 2. Mnge muacha akaenda uko anako pataka . 2nge msahau. Lakin Tz anaweza akachomoka coz hatujuag wengne wa ripo ..

    ReplyDelete
  9. Kama mmeshindwa kumuona mtaweza kumbana?wacha longolongo

    ReplyDelete
  10. Balaa kweli mapunda wote mwaka huu watakamatwa kwajina la yesu.

    ReplyDelete
  11. Wanajisumbuwa bure kuwakamata hao daga wakati misamaki mikubwa wanaijuwa na wanaiogopa! Msheeww wa waache watu wayauze tu..stupid people

    ReplyDelete
  12. hii nchi ili inyooke labda inabidi tuirudishe kwa wakoloni, maanake tumeshindwa kabisa kujitawala, hayo mapapa yanajulikana lakini hayakamatwi, kivipi? ni kinanani hao? wasioridhika na mishahara yao mikubwa pamoja na huo wizi wanaoufanya, mpaka wawe wanasafirisha hizi dawa, aise siyo mchezo.

    ReplyDelete
  13. Kumbe wanafanya funny hawaogopi wacheni wabebe wakamatiwe huko china wafungwe au wanyongwe ndio wanalolitaka hapo Tanzania wapo home hawafanywi lolote

    ReplyDelete
  14. Kumbe wanafanya funny hawaogopi wacheni wabebe wakamatiwe huko china wafungwe au wanyongwe ndio wanalolitaka hapo Tanzania wapo home hawafanywi lolote

    ReplyDelete
  15. tatizo biashara hii ni ya mapapa na nyangumi, sasa hawa kenge wanaokamatwa, ni danganya toto, wakati pesa inatembea wanaachiwa. ndiyo maana huwa awataji waliwapa mzigo. endeleeni na biashara make wanyonge tunadanganywa kuwa wamekamatwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad