MWANAMUZIKI LINAH SANGA APANGUA SKENDO INAYOMKABILI YA KUTOKA NA KIGOGO

Mwanamuziki Linah Sanga Amekana katu katu Skendo kuwa anatoka na kigogo mmoja wa serekali na kuwa amempachika ujauzito ..

Linah Amesema yeye sio mjamzito na wala hatoki na Kigogo yoyote, hizo ni shutuma tu za uongo mimi nina mchumba wangu kabisa na anatambulika kwetu  yote mnayoyasikia ni mambo ya kuzusha tu mitaani....Mnikomeee

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. jamani msipende singizia demu za watu zinatoka na hao mafisadi, inaweza vunja mahusiano mazuri yalipo baina ya wahusika, mt akimzushia demu yangu anatoka na hao jamaa, ntaparallyze kabisa maanake ntajua nshapata ngoma!

    ReplyDelete
  2. Kweli tu kwani hao wasanii wa kike si malaya tu.

    ReplyDelete
  3. kama una mimba niyakwako mwenyewe!

    ReplyDelete
  4. Wabongo pendeni kukoment point acheni majungu

    ReplyDelete
  5. Wabongo wakikosa new skendo ndo zao hao!!
    Linah wasikupe presha mama hawana jpya endlea na mambo yako mana hayawahusu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad