Web

MWIGULA NCHEMBA AMKALIA KOONI MBOWE "MBOWE HAFAI KUWA KIONGOZI WA KAMBI YA UPINZANI BUNGENI"

Kumekwepo na jitihada ama za makusudi, ama za kutokujua, ama za kile kinachoitwa kumsafisha mbowe. 
Niweke wazi kwamba sikumkosoa mbowe kuhusu mambo ya mahusiano anayosemekana kuwa nayo na wabunge wake wa viti maalumu, bali ni kuhusu KUKIUKA KWAKE MAADILI YA UONGOZI.

1) Kitendo cha kukatisha ziara ya mbunge wake wa kazi maalumu ili wakakutane Dubai kwa kazi maalumu badala ya kazi ya nchi aliyotumwa tena arudi toka marekani mpk Dubai kwa fedha za serikali ni matumizi mabaya ya
fedha za umma na ni ukosefu wa maadili ya uongozi. Angemrudisha kwa gharama zake yaani kwa fedha zake hapo ingekuwa mambo binafsi. Kufanya mambo binafsi kwa fedha ya umma haiwezi ikawa jambo binfsi. Hivyo sikukosoa mapenzi yao bali matumizi ya kodi za masikini kwa mambo binafsi. 

2) Kumlazimisha Afisa wa bunge abadili tiketi ileile iliyokuwa aende kwenye shughuli ya bunge sasa ageuze aende kwenye kazi maalumu hili sio jambo binafsi ni matumizi mabaya ya madaraka. Ni kukosa huruma kwa hali ya juu kwa watanzania.

3) Kumlazimisha mbunge wake wa kazi maalumu kuachana na safari ya kikazi na kuacha nchi ikose mwakilishi kwenye kikao hicho huku tayari akuwa ameshagharamiwa safari hiyo, huku tayari akiwa ameshaziba fursa hiyo ambaye mbunge mwingine angeweza kwenda kuliwakilisha taifa halafu mbowe na mtu wake wakaenda kwenye kipaombele chake cha kuburudika dubai ni ukosefu wa uzalendo kwa Taifa na ni ukosefu wa maadili ya kiuongozi.
Tumeongea kwakuwa wametumia fedha za umma, tumesema kwa sababu wameacha kazi ya umma huku wakiwa wamechukua fedha kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania na tunasema kwakuwa wamewanyima fursa wabunge wengene ambao wangekwenda kuwakilisha Taifa endapo fursa hiyo hangepewa mtu elibadilishiwa safari ya ya taifa na kuitwa kwa kazi maalumu.

"Ukipewa kazi ya nchi lazima ujiheshimu" NITASHANGAA SANA NITAKAPORUDI BUNGE LIJALO NIKIKUTA MBOWE BADO NI KIONGOZI WA UPINZANI BUNGENI
Tags

Post a Comment

28 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyo na kapuya lao moja

    ReplyDelete
  2. Hafai kuwa kiongozi kabisa mtu gani hana huruma na wananchi anaamua kutumia vibaya pesa za Umma,akiwa bungeni anajifanya anawahurumia wananchi kumbe Ni mnafiki Tu...

    ReplyDelete
    Replies
    1. kumamako unamsema mboye ccm wangapi inakula hela za umma ile nchemba sijui mkuma au chemba la mavi tena tumekutana naye shinyanga na wapambe wake walikuwa na naibu waziri wa nishati wanakula ovyo hela za watu wanatembea na wapambe wanawalipia wote hotel hela wanatoa wapi makuma hao kama siyo za wananchi unakurupuka kuspport ujinga kumamamakoooooo

      Delete
    2. lugha jaman

      Delete
  3. tatizo viongozi
    wetu hawataki
    kuambiwa ukweli
    ili muelewane
    we umsifu2 hata
    kafanya upuuzi
    WHAT?

    ReplyDelete
  4. Eeeh bwana Eeh kaka mbowe alikuwa sf sn lkn baada ya kujiingiza kwa huyu mukya Ni mikosi kibao!!! Mara kutolewa nje ya BUNGE! Mara family Yake Ni majanga! Mara kasheshe na Zito na walikuwa maswahiba na Zito alikuwa anamchukua huyu mukya!!!! Sasa nataka kumwambia kuwa akae chini ajioji!!! Pia huyo mtoto Si wake Ni Wa jamaa Wa MERERANI!!!!

    ReplyDelete
  5. Hapo ni kiongoz tu wa upinzan bungeni akiwa waziri mkuu itakuaje, hawa jamaa ni wanafiki wakubwa!

    ReplyDelete
  6. Ndio sasa mnafahamu! Inaonekana WaTanzania wameanza kutilia maanani nyendo za viongozi na pengine uchaguzi unaokuja akachaguliwa kiongozi na sio CCM au vyama vingine kama Chadema, NCCR au CAFU. Kuongoza nchi siyo lazima uwe Waziri au Mbunge, unaweza kuwa mtu yeyote ili mradi ni Mzalendo.

    ReplyDelete
  7. huyu anayasema hapa Mbowe siyo kiongozi, je yeye ninani? yeye anafaa? ugaidi wote huu anajulikana yeye, sasa Mbowe kafanya ugaidi gani? kuwa na uhusiano? inatuhusu nini sisi? sisi hatutaki magaidi wanaotuteketeza!

    ReplyDelete
    Replies
    1. ama kweli ukipenda chongo utaita kengeza

      Delete
    2. hujui kusoma basi hata picha huoni? fungua macho huyo akitawala atasafiri na mahawala kwa pesa zetu. hatumtakiiii

      Delete
  8. mwacheni Mbowe wetu, wewe ccm utatuchaguliaje kiongozi? sisi tunamwona anafaa, wewe angalia ya ccm, ya Chadema hayakuhusu.

    ReplyDelete
  9. Mbowe jembe hata wasemeje

    ReplyDelete
  10. Mda huo wa kumzungumzia mbowe ungemzungumzia kapuya ningekuona wa maana Wewe unakula ngap na mafsad wenzako Achen hzo kujtapatapa kwa kumchafua mtu

    ReplyDelete
  11. Mwigulu acha siasa za kijinga wewe unahusishwa na mangapi ? Je unaendaga kutekeleza yale unayoyafanya na kutumwa kwa pesa za nani wewe hapo ulipo mfukoni mwako ni pesa yetu ctetei uovu kma mbowe ana makosa ajirekebishe ila mieunafiki cpendibana tuwe tunaondoa maboriti machoni mwetu kabla ya kuyaona yaliyo mwetu toa uozo uliopo ccm ndipo uje chadema hakhna sehemu mbovu ktk vyama hivi kma chama chako kijana jipange tunakuonaga hata bungeni badala ha kudeal na nchi kuitetea kama kijana menzako mnyika atleast na makamba , filikunjombe we huwa unajifanyaga amsha popo kuongea kama mtu anaetafuta umaarufu ckuelewj mwenzangu we bado kijana ila unapenda siasa zisizo safi umechaguliwa kuja kuleta maendeleo ya iramba sio kuwa mpika majungu fuata haga madogo yatakusaidia unajijua ukweli wako ulipo

    ReplyDelete
  12. Kila kiongazi aliye na anaeipenda ccm ni mnafiki na mwizi so unajifai mpenda nchi ila hata we ni nafiki hauna jipya we na wale wanaomtoa mwenzao nduki na mawe wote wezi ongelea ndege yetu ilivyotumika kuokoa maisha yatoto wa kjgogo asinyongwe avhana na habari za mbowe pia kamfuate yule lukuvi umuulize kwanini alichomoa khjadili masuala ya madawa ya kulevya yanavyomaliza nchi yetu vijana wanapotea elimu inashuka na c kuwa kma mnafiki usieona maobu haya mnayoyafanya halafu uwaeleze wao hawafai kuwa viongozi c vnginevyo

    ReplyDelete
  13. Jembe wapi AENDE HAI AONE JINC ATAKIMBIZWA! Alipromise kujenga madaraja hadi Leo ameingia mitini kumbe hela anamalizia kwa WANAWAKE!!

    ReplyDelete
  14. Kwani hapo mnachogmbea ni nini? Hakuna kiongozi mwaminifu hata mmoja ingekuwa walioko madarakani ni watiifu au wanajiheshimu basi biashara ya madawa ya kulevya ingekuwa imeshakoma. Lakini wapi ndio kwanza inazidi kushamiri na kwenye pembe za ndovu ndio usiseme. Hakuna hata aliye nafuu wote ni walewale fanya yako

    ReplyDelete
    Replies
    1. We! Fala unaonge nn? Hapa ni khs mboe

      Delete
  15. Watanzania si wa moja tena ni maslahi tu ya kila upande kila kiongozi na watu wake. Tunakazi kubwa sana kwa taifa letu.nakufika tunako kutaka ni ndoto.tuwaseme viongozi wetu kwa pamoja ambae anakosea tukiwa sisi mawakili basi watafanya vile wanavyo taka.na daima tutabaki kuwa kama tulivyo. MANENO MENGIIIII LAMAANA HAKUNA

    ReplyDelete
  16. NANYIE MNAVYOTAFUNA HIZI KODI ZETU WAZIWAZ MBONA HAMJITANGAZI NA HIZO RUSHWA MNAZOKULA MBONA HAMSEMI MUMEMUONA MBOWE YAKWENI NYUMA YA PAZIA HATA MUMCHAFUE VIPI TUMESHA JUA HILA ZENU PIA HATA SISI TUNA AKILI ZA KUONA MAZURI NA MABAYA JIBU 2015

    ReplyDelete
  17. UNAJIFANYA UNAHURUMA NA WATANZANIA HUO NI UWONGO UNOUONYESHA HAPO ILITUKUUNGE MKONO WALA HATUKUUNGI MKONA KWANI UNAIFAGILIA CCM hapo kwahiyo imekula kwako wananchi tunajua pakwenda ni wapi hata ukipiga debe tumewachoka mbona huwasemi ndugu zako wamebakisha tembo 13.......alufu kungeliongelea hili tungekuona wamaana kazi niuwongo tu tumewachoka

    ReplyDelete
  18. chaajabu nikwamba utamkuta na huna ubavu wa kumuondoa ila utaondoka wewe ambaye hatukutaki kwani umeifanyia nini tanzania mbona hata kwenye chati hatukujui

    ReplyDelete
  19. unauhakika nahuyo anayemlaumu mbowe au unasema tu ;hao kazi yao nikuharibu sifa za nyama vya upinzani iliwazidi kutunyonya kuweni na;alama za nyakati jamani mbadilike

    ReplyDelete
  20. WW ONGEA UMBEA WAKO 2, CC 2NATAKA UFANYE KAZI 2ONE, KUTEKELEZA AHAD ZAKO NA C KUONGEA MANENO YA KANGA, watanzania 2mechoka na vchwa maji nyie, mangap unayafanya? 2015 2tapigia kura hata vivuli

    ReplyDelete
  21. FREAAMAN AIKAEL MBOWE NI JEMBE!! hata mseme nini nyie sisisim!! kama uongozi mnaujua, nchi hii c ingekuwa mbali, kila siku maisha yanapanda, umeme sasa haushikiki? mnalionaje hilo? ebu zungumzeni ya maana na achaneni na JEMBE MBOWE, hahusiki na umasikini wa mtanzania wa sasa hv!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad