Naomba radhi kwa simulizi hii ndefu..
Mimi ni kijana, umri wangu ni kati ya 25-30. Ni mhitimu wa chuo kikuu. Ni msaarabu, najiheshimu na napenda maendeleo. Nipo kwnye mahusiano imara, japo tupo mikoa tofauti na tupendana sana na girlfriend wangu & recently tumeanza taratibu za utambulisho nyumban japo si rasmi..hivi karibuni nimepatwa na tukio la ajabu, kuna rafiki yangu wa kike way back toka primary scul tulikuwa tunawasiliana kawaida as normal friends lakin kumbe mwenzangu alikuwa na hisia za mapenz kwngu,,alipoona simtamkii akaamua avunje ukimya, nikamwambia haiwezekan na sabab nikampa..alilia sana akaomba 2fanye kwa siri coz hata yeye ana boyfrnd bt yupo mbal bt nikabak na msimamo wngu..akaomba tuonane japo tuongee, nikakataa lakin akaforce kuja home (nlikuwa peke yang) coz alikuwa anapajua,,kafika home hana jipya, alipoona nmegoma kabsa akaanza kunfanyia fujo(sexual harassment) akavua nguo zote tufanye ngono, nikajikaza kiume nikamvalisha nguo & nikamtoa nje, too bad nlisahau funguo za gate ikabidi nirud ndan kumbe mwenzang ananfata nyuma pasi na kujua,,akaanza fujo tena & this time nlizidiwa nguvu & we had sex, unprotected sex..i was raped na mwanamke,,nlilia sana that day nikapanga safar kwnda kumwambia my girl coz hatufichan ki2 (kwnye sim nilishindwa),,ucku huo yule mwanamke akantext kuwa nikijaribu kumwacha atamwambia girlfriend wngu, cjui alichukua phone no. mda gani,,ikabid niwe mpole..then akanambia "too late" kuulza ana maana gan akawa anacheka..nlimwambia my friend lawyer akacma kesi ngumu coz tukio lilitokea hme so ngumu kuprove a rape..after 1 month nikaanza kupata symptoms za ajab, nikaenda kuchek STI (ckupima HIV) nikawa sina bt nlipata UTI,, nkafuatilia zile dalili na kugundua ni related na Acute HIV, nkaogopa sana, nikaanza kumkwepa girlfriend wang kila akipanga safar natfta excuse, nia yangu itimie 3 months...i knw knowldge z power & najua kila kitu kuhusu HIV japo si dokta, najua i can live 30 years, najua the cure is near or imepatikana bt held in disguise,berlin patient,missisipi baby(cured of HIV) bt God AM FREAKED OUT, juz imetimia 3 months naogopa kwenda kupima, ntamwambia nin girlfrnd wng kama nmeathirika, ataniacha,,i'l be alone...am not too weak to kil myself or kill anyone..nmeamua kumsameh aliyenfanyia huu uchaf nmemwachia Mung,,all my life nimeishi vizur(mbal na vishawish) only God knows haya majaribu yana maana gani,,
Nimechanganykiwa naombeni msaada wa mawazo, nmejiunga huku walau niitoe moyoni nipate relief coz naogopa kuambia watu...I've got no one to talk to kuhusu hii ishu.
JF
Pole.nenda tu kapime kaka.ukijua utakuwa na amani zaidi.lakini mungu ni mwema utakuwa hujaathirika.pole sana.
ReplyDeleteDuh pole kk
ReplyDeletepole kakangu...kitu cha kwanza talk to ur gal kama anakupenda ataelewa, as long as hujawah mcheat au kuonesha dalili za kucheat....therafter muende ukapime....Mungu si athumani inawezekana hujaathirika ata kama yule dada alikua affected kuna possibility ya ww kuwa safe kwaajili ya sabab za kimaumbile.....so dn giv up ur a man...once again pole sana kakangu
ReplyDeleteHey man usiogope, kula ngumu ukapime ili ujue status yako. For your information HIV sio AIDS. Hata hivyo unaweza kuwa hujaathirika. Cha muhimu usiweke dukuduku moyoni na usiwe na hisia za kulipiza kisasi ama kujiadhibu. And by the way, who told you kwamba ameathirika???
ReplyDeleteSorry kacheki tu broo
ReplyDeleteIf your at dar let me assure you
Du pole sana kaka angu hayo ndo majaribu ya duniani, usiogope nenda tu kapime ili hayo maumivu yapungue, yawezekana Mungu alikuepushia hilo janga na ninaamini utakuwa salama. Naomba Mungu akupe ujasiri wa kwenda kupima.
ReplyDeleteDuh! Pole sn piga moyo konde nenda kapime pengine hujaathirika kaka
ReplyDeleteDaaa pole sn kaka ILA ucfe moyo mungu ni mwema anaweza tenda miujiza just trust in him
ReplyDeletePole best kapime km huna Poa km unao ishi kwa matumaini mi natumia dawa Mwaka wa 10 sasa nimeoa na nina watoto 2 wako Poa kabsa wtt wazima kula vzr fanya mazoeZi ishi mkeo vzr
ReplyDeleteNenda kapate ushaur kutoka kwa washauri nasaha sio huku kwenye mitandao kijana...
ReplyDeletepole
ReplyDeletepole sana kaka haya ndio yanaitwa majari kila mmoja anapitia kwa njia yake.So chakufanya mwombe sana Mungu wako akupe ujasiri kwenda kupima,mimi ninaimani hujaambukizwa hata kama huyo dada ameadhirika na alikuwa na niya ya kukuambukiza,Mungu wako atakuepusha mbali na hilo balaa na kwanini hujatumia condom? anyway saa hizi sio saa ya kumtafduta mchawi ni saa ya kumtibu mgonjwa, naomba ukapime maji yote pokea kwa moyo hata kama umepata wewe huwezikuwa wa kwanza na wala wamwisho na another way kuwa na ukimwi leo humaanishi utakufa leo watu wanakaa zaidi ya miaka ishirini na bado wanaonekana wako sawa kiafya na dawa za kupunguza makali hya ukimwi zipo kwa hiyo point yangu ukapime haraka sana nanaomba utupe majibu yako vyovyote itakapo kuwa utuletee majibu hapa pls tuzidi kukupa ushauri pole sana, usijali na usifunjike moyo kwa mambo ambayo huna uwakika navyo.hakuna kitu kibaya kama kuwa na wasiwasi, wasiwasi ni ugonjwa mmbaya sana.
ReplyDeleteKapime kwanza. Then ndio utafute njia ya kunwambia mpenzi wako. Nakutakia kila la kheri. Ubarikiwe
ReplyDeletekwanza pole kwa yote. Lakn nakushaur ukapme kwanza ndo umwambie girlfriend wako kwan unaweza kumwambia kabla hujapma mkaachana kumbe hujaathirka. Jkaze baada ya kujua hal yako ndo umweleze.
ReplyDeletemmenifulahisha sna wadau, yaan hakuna hata coment yenye matusi. kwa kweli mungu awabariki kwa kumshauri kijana mwenzenu vzr!
ReplyDeletemmenifulahisha sna wadau, yaan hakuna hata coment yenye matusi. kwa kweli mungu awabariki kwa kumshauri kijana mwenzenu vzr!
ReplyDeletekweli kapime kwanza inawezekana ujaupata bado,tuwe makini sana vijana wenzangu,mi nina rafiki yangu ameathirika uwezi jua alivo mzuri anabadilisha wanaume kama nguo tena anafanya makusudi,fb,bbm na kote yani anatafuta na anafanikiwa kulala nao japo anaweza asiambukize wote lakini ndoanao wengi anaotembea nao wanapata UTI ,.hilo ni kama somo mungu pia mkubwa unaweza kabisa kuwa ujaupata,ila tuwe makini na tupunguze mnyororo,tuwe na mtu mmoja umepima nae na mara kwa mara tunakumbushana kuhusu maambukizi haya ili tuwe makini zaidi.
ReplyDeletePole Xana Kaka mungu atakuxaidia
ReplyDeleteMungu yu mwema mdogo natumaini Uzima kabisa na demu Alivyo kwambia To late ndo ofu umepata lkn usiogope alitaka awaachanishe na mchumba akukomoe lkn hamna kitu kama hicho Mwanangu mungu akutanguli kwa kili jambo.Amen
ReplyDeletepole xaana kaka ucwaze kapime and utakuwa hauna hiv/aids wala usogope coz ulpatwa na mtihan tu
ReplyDeletepole xaana kaka ucwaze kapime and utakuwa hauna hiv/aids wala usogope coz ulpatwa na mtihan tu
ReplyDeletepole xaana kaka ucwaze kapime and utakuwa hauna hiv/aids wala usogope coz ulpatwa na mtihan tu
ReplyDeletepole sana kaka,usiogope kwenda kupima....piga moyo konde,then utakua na peace of mind baada ya kujua ukewli.
ReplyDeletepole broo mungu yu pamoja nawe...but remember there is no friendship btn men and women just kapime na nani alikwambia kiua uyo dada kaathirika...tuluza akili bro
ReplyDelete