Nawaogopa wanawake wazuri, tatizo sijui nini?
Pamoja na ujanja wangu wote ktk nyanja mbali mbali lakini linapo kuja swala la mapenzi nishindwa kujielewa sijui Kwanini Nawaogopa wanawake wazuri (Watanashati/ Warembo) Tangu nibaleh na kujiingiza na maswala ya mahusiano sijawahi kujipa ujasiri wa kusimamisha PINI na kuitupia vina. Sio kama siwataki hapa ukweli Nawaogopa sana wanawake wazuri. Wanawake wangu sikuzote ni wakawaida sana tena wengine kiukweli hawanifikii hata kwa hadhi (kuku wa kienyeji) Imefika wakati Rafiki zangu wananiita wa Mizoga kwa kupenda wanawake wabovu.
Kwa taarifa yako hakuna mwanamke mbovu duniani.
ReplyDeleteHao wamejipendezesha au kupendezeshwa,hata hao kuku wa kienyeji wakipata matunzo utawasahau!
ReplyDeleteUcjali. Kikubwa tabia.
ReplyDeleteItakuwa we jamaa choco!
ReplyDeleteaka
ReplyDeleteMbovu mwenyewe.hakuna mwanamke mbaya hela yako tu ya kumsop sop.
ReplyDeleteWw wataka kifiro
ReplyDeletehawa uowaona wazuri ndo wana ukimwi
ReplyDeleteWanawake wabaya uliwaumba ww! Tena hao wa kijijin ni wazur sema tu hawana matunzo....Utakufa kwa kutaman vilivyoundwa na wenzio...unda vyako
ReplyDeleteHamna mwanamke mbaya
ReplyDeleteAcha ubwege wewe
ReplyDeleteAcha ubwege wewe unakuwa kama ndondocha
ReplyDeleteHahahaha..
ReplyDeletePost na comment zko pouwer sana
Ongea naotu hawana lolote ila wanapenda mwanaume anayejiamini
ReplyDelete