NEVER UNDERESTIMATE THE POWER OF NYUMBA NDOGO

Seriously wanawake mlioolewa wengi Wenu mnaboa sana sana Aisee, Mnadharau sana Nguvu ya Nyumbandogo, Mnaviona Kama vimalayaflani visivyo Na Bahati. Na kurukia waume Za watu. Sure I am telling you stop this. Never underestimate the power of nyumbandogo.

Umebweteka tu, ukirudi home umejitupia Kwa bed ukiguswa unamaka Eti umechoka, mumeo yuko bize Na simu down night we unaona poa tu, Kwamba ni jiwe la mtoni weye Maji yatapita yataliacha, frendie umebug mama. Tena Kama ni reli imegeuka tope, Nyumbandogo zina nguvu sana.. 

Ukibahatika sana waweza kudhibiti mshahara lakini unajua marupurupu mengine yanapo elekea?, lunch, OT, mishemishe Za kiofisi unajua fedha Yake ni zaidi ya Mara tano Na kitu ya kimshahara chake! Unajua zinaelekea wapi!?!, acha Ushamba, unadhani kuna maisha mengine zaidi ya Haya.

Sijui mmelewa mvinyo gani, aliyewadanganya kawalogea Kwenye uongo , Nyumbandogo zina power sana sana. Wanaume all days hukimbizia Fedha zao Kule wanakoinjoi love. Imagine Kwenye Kitabu Cha Biblia, palikuwa Na Mfalme mmoja aliyeitwa Daudi.. Aliyekuwa Na wake Saba wa ndoa Za Kishindo.. Wote walibweteka wakimsubiria Mfalme amteue Mtoto wa mmoja wapo awe mrithi wake.. But what happen, Mwanamke Mwingine we can say Nyumbandogo (Bathsheba) aliyekuwa Mke wa bwana mmoja askari Uriya, akapenetrate within the David Kingdom , akawa the 8th wife Na Kuutwaa Urithi wa Ufalme Kwa mwanae Solomon., wale wengine wakabakia mimacho pyuu, Then Nyie Leo mnadharau hii kitu. Chezea pesa, hata Kazi chezea but usichezee mume. Itakucost.Kazi yaweza potea ukasaka nyingine mume akikuponyoka siku akirudi haji peke Yake ameshajifungashia zigo la Gonjwa, anakugawia Na wewe.. Nambie kama utaona Raha ya Kazi tena, Kama utaona Raha ya Shule unayoikazania. Kila siku openiyunivaste-yunivaste itageuka klose-yunivaste. 

Hapana aisee , badilikeni, mkeep bize mwanaume at your Body, mmassage, make him happy, is the only husband an pet man you have. Mwanamke mmoja makini akinambiaga Yeye mumewe anamtendea "vitu" kiasi hata akienda nje hawezi kuta Kama hivyo ampavyo. But wengine maadam keshaolewa, Na ndoa zenyewe hizi Za kikristu, one wife , Basi anaona kafikaaa, Umelogwaje,wakati wa Mchana mchane Na Whatsapp mwenyewe akome sio kuwaachia wengine wamuwatsapp utajuta.

Kazi, Watoto, Ndugu Na majukumu mengine yasikufanye ukapoteza lulu yako ya Kuwa Na happy time Na Mumeo..
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. We washabikia uzinzii!! Kweli akili yako iko mkunduni. Baada ya kupiga vita uzinzi we waupa chati!! Sijui ni uchizi au vp sielewi.

    ReplyDelete
    Replies
    1. We msenge anasema ukweli eti anashabikia kuma kweli

      Delete
  2. Hayo yanaitwa makavu laivu.smtyme wanawake wenyewe ndo tunaoleta matatizo kwenye ndoa zetu ila hata hao wanaumme ni umalaya tu kama mkeo anakukosea kwann msdscuss ukakimbilia nyumba ndogo na mke nae kama kakerwa nae akimbilie kwa serengeti boy?ishu ni kudscuss difference zenu na sio uhuni cz hata huyo nyumba ndgo hata ukikosea ye anakwambia hujaniboa baby only b'se she know wat she wants...FUCK OFF

    ReplyDelete
  3. Aliyeandika hii naona ameandika kujisapoti kwani yeye ndii nyumba ndogo. Kwataarifa yako huyo bwana iko siku atatafuta nyumba ndogo nyingine. Malaya wewe

    ReplyDelete
  4. Malaya ni malaya tu ata ukimpa tigo bado haisaidii

    ReplyDelete
  5. Ww tigo ndio ishu sana

    ReplyDelete
  6. Hata umpe nini?kama si mstaarabu na mwenye hofu ya mungu atatoka nnje ya ndoa tu.Cha muhimu ni kuomba gonjwa lipitie mbali.Na vibinti vya siku hizi havina haya pesa mbele wanatumiwa vibaya sana,tena anakujua anatoka na mume wako bila aibu na anampa asichopewa( tigo) ndo town news!

    ReplyDelete
  7. Na hawajali maana wangejiuliza,kama anapendwa mbona asiolewe akawekwa hm?watatumika wakichoka wanaachwa wanaume wanapenda kubanwa every day.

    ReplyDelete
  8. Nyumba ndogo itatombwa tu mwisho wa siku anarudi kwa mkewe,chezea ndoa wewe,nyumba ndogo mtaishia kulalwa coz hamna hadhi ya kupigwa ndoa.

    ReplyDelete
  9. mjinga san wew apo juu una lolote we utakuwa zigo kitandani ukiwa na mume wako na ata kuguna amna unatiwa utafikili umekufa nyokoo we

    ReplyDelete
  10. kumanina zenu wote mnaocoment ujinga kuma na mboo zenu zimeoza

    ReplyDelete
    Replies
    1. Heeee!. Kimekuuma nini? Umepewa ukweli. Mtafirwa na haya mabuzi utanunuliwa pombe na starehe za hapa na pale. Lakini ujue huna chako akiamua kuondoka basi tena huna chako.

      Delete
  11. nyumba ndogo zinafariji sana hata mim niliamua kuwa nayo baada ya kuona wife hafanyi aliyokuwa anafanya enzi za uchumba wetu..nyumba ndogo ni muokozi wa furaha yangu

    ReplyDelete
  12. Mwandishi wa hii makala ana ufinyu wa kufikiri.

    ReplyDelete
  13. Jamani wadau kimenuka kumbe gari anayotesea mujini domo ni ya kuazimaa Hahahaah!anachekesha wenyenalo kamuumbua jmn mbona vjn mnapenda maisha ya juu wkt huna jikubali.hii ni mara ya pili coz na hari la clement wakati linakamatwa alikua nalo yeye.

    ReplyDelete
  14. mwandishi unatumia biblia kujustify dhambi yako? umenikumbusha YESU alipogeuziwa mstari na shetani ili amwabudu. Ni hv, huyo beltsheba hakuzaa mfalme akiwa nyumba ndogo aliolewa kwanza aliyemzaa katika uzinzi alikufa. na kama wawafariji nyumba ndogo na kuitetea hiyo dhambi mbona yeye hakua wa mwisho? kazaneni na nyumba ndogo na vidumu ukimwi na serengeti boys

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad