Ikiwa ni takribani mwezi sasa nchi hii inaendeshwa bila kuwa na mawaziri wanne muhimu na kati ya wizara nyeti ambazo hazina mawaziri ni ile ya Mambo ya ndani na Ulinzi wakiwa kama ndo wanaolinda amani na usalama wa nchi hii.
Na uchelewaji na rais na taasisi nzima kwa ujumla kutoona umuhimu wa mawaziri hao either kwa taifa na wanachi kwa ujumla wameona hauna uharaka au umuhimu wake na yuko kimya kama hakuna kilichotokea.
Kwa upande wangu naona kuna haja ya kupunguza baraza la mawaziri na hata kufuta baadhi ya wizara kwa sababu hazina ulazima kama rais anavyotuonyesha kwa sasa.
Kikwete kachoka kuchagua mawaziri kila leo mawaziri wapya niyupi anafaa hamuoni.
ReplyDeletetunalia hadi machungu yaishe
ReplyDeletePelekeni ujinga kwani si kuna manaibu wao
ReplyDeletePelekeni ujinga kwani si kuna manaibu wao
ReplyDeleteukiwa na akili ndogo
ReplyDeletekama nukta hauwezi ona umuhim wa mawaziri kama hao manaibu waziri unadhania wanatosha bas unamaanisha kuwa mawaziri katika wizara zooote watoke....stupid
Kama una machungu kweli jinyee
ReplyDeletehhaahhhaha loh..yaan unazidi kuonesha ni jinsi gan una akili ndogo
ReplyDeleteNyie wote n mafara coz hv hamuoni umhimu wa mawaziri.
ReplyDeleteKwani ata hao mawaziri walivyokuwepo kuna tofauti gani na sasa? Kuna manaibu waziri, makatibu wakuu na manaibu makatibu wakuu.Ni bora aache hivyo hivyo mpaka atakapo maliza muda wake.
ReplyDeletekwani katiba inasemaje?juu ya hilo
ReplyDeleteKuna baadhi ya mambo hayahitaji pupa Ni lazima ukae utulie na utafakari kwa makini kabla ya kuchukua maamuzi.Maana hii sii Mara ya kwanza kubadili mawaziri...Ninachohisi Raisi anatafakari kwa Makini kwa kuangalia yupi mwenye sifa na vigezo na mzalendo ambaye ataweza kusimamia wizara....
ReplyDeleteAh kwanza hata yeye lini anaondoka?.
ReplyDeleteAh kwanza hata yeye lini anaondoka?.
ReplyDeletehongera Rais wetu unajua kuupdate viongozi!
ReplyDelete