NI NOMA! WEMA APOST VIDEO YA DIAMOND AKIWA KITANDANI KIFUA WAZI

Leo mwanadada wema sepetu amezidi kuudhihirishia ulimwengu wa fans wake kuwa kijana raisi wa wasafi aka Diamond Platnumz ndio mahabuba wake baada ya kupost video ya mwanamuziki huyo akiwa kitandani kifua wazi kabisaaa huku akiandika “In da middle of his writing session…jus had to distrub him a little”. Mmmh hatari sana!


Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hawa ni washamba mambo ya kitandani wanatuonyesha ili iweje??? c wange piga picha tu wapo pamoja out tungeupata ujumbe!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. umeongea ukweli mtupu coz diamond yeye mpaka nw hajaweka hata picha 1 ya wao wawili coz anajua mapenzi c vitu vya kuvi tangaza tangaza public

      Delete
  2. Kila shetani ana mbuyu wake na Mbuyu wa Diamond ni Wema! Wamefanana tabia, wanapenda sho off, wanapenda attention, wanapenda kucheza na akili za watu,wanapendezana. Kwa ufupi I love them:) :) Tuache movie iendelee lol#thoselipss;)

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  4. We wema acha ungese utawekaje usenge kama huu.? Arafu j2 zma. diamond c sawa na mdogo wako . Acha u k wako .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kapige mswaki unamdomo mchafu sana! Umri sio tatizo kabisa kikubwa ni kuridhiana...sasa hiyo video inaubaya gani? Ramadhani jina lako haliendani na maneno yako machafu! #Badilika

      Delete
  5. hawa wameshindikana wawaache waendelee kujimalizaits their life. ila kikinuka hatutaki kusikia upuuzi wenu wala kusumbua familia zenu.

    ReplyDelete
  6. Sasa huyo wema mbona mimi sikamuona kwenye video hiyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Changa za Machooo …hahahaa

      Delete
  7. MR DOMOnd au DIAmond.

    ReplyDelete
  8. Tumezoea mbwembwe zenu bado tu kupost video akiwa anakufira au wewe umetumbukiza kidore mkunduni kwake.

    ReplyDelete
  9. msiwaonee uwivu wamependa pia wanaendana tatizo nn? kwa wema anamapenzi ya kweli kwa diamnd awe anadomo awe mbaya ndo wameisha pendana. tuwache walaleeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  10. Jaman nga'ri ng'ari mimi penda sana wema na diamond mko juuje yani miaka 1000000000000000 mi penda nyie jaman yani gapa na sheherekea

    ReplyDelete
  11. I dnt see any problem in this video jamani wabongo tunapenda kukuza mambo....I love wema n diamond let them be jamani

    ReplyDelete
  12. Kazi kweli kweli,nina shaka itakuwa ilikuwa sehemu ya movie yao!

    ReplyDelete
  13. Hii ni milimbukeni yenye laana kwa kuharibu vijana wa kitanzania kwa madawa ya kulevya. Wasijione wajanja saaaaaaana kwa pesa haramu wanazozipata kupitia mihadarati. Kutafuta umaarufu usio na maaana. Wakanye keki kama waonajiona wao zaidi. stupid

    ReplyDelete
  14. Huu ni upuuuzi.shule muhinu sana.

    ReplyDelete
  15. iyo ni move yawo

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad