Web

NIMEKUFA NIMEOZA KWA BABA MWENYE NYUMBA WANGU..NIMEJIPITISHA NA KUJIBALAGUZA LAKINI WAPI..

Ndugu  zangu, naombeni  nisieleke  vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko  maeneo ya  Mbezi.
Tatizo langu ni kwamba nimetokea kumpenda  sana  baba mwenye nyumba wangu ambaye ana watoto na familia. Kila nikijibaraguza siwezi. 
Nimefanya  kila  mbinu  kuzificha  hisia  zangu  lakini  nimeshindwa.Kimsingi simpendi mwanamume mwingine zaidi yake.

Nisaidie kuniepusha na mtihani huu  mgumu.Asanteni
Anna
Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hama nyumba nenda kapange kwengine utapata mwengine, mwache baba wa watu atunze familia yake.

    ReplyDelete
  2. Muongo wewe wataka uliwe ili usilipe kodi. Mwenyewe kashtuka

    ReplyDelete
  3. Wataka dezo tu huna lolote. Njoo magomeni hp mi nipo single upate huduma hujapata ona!!!!

    ReplyDelete
  4. Muongo wataka ukae bure matako wewe

    ReplyDelete
  5. Njoo nikuone kama uko poa nikuowe kabisaaaaaa

    ReplyDelete
  6. shetani mkubwa we!

    ReplyDelete
  7. Kila mtu na kichaa chake na wewe ndo kichaa chako,kaa mbali wewe

    ReplyDelete
  8. ningekusaidia ila umesema umpend mwengine zaid yake

    ReplyDelete
  9. Mimi mwenyewe nina nyumba napangisha kama shid* yako nikutoa mzigo ili ukae bure! Kwa mwezi na kulala na 900 mbwa wewe ndo usilipe kodi

    ReplyDelete
  10. Pumbavu sana huyo anataka kukaa buru lakini mtu kama huyo atamupangisha nani?

    ReplyDelete
  11. UMESEMA UMRI WAKO NI MIAKA MINGAPI VILE UNAJUA NIMEISHA SAHAU

    ReplyDelete
  12. Dada pole sana tena poolee!mimi nikijana nina nguvu za kiume zooote,nanimtundu kwenye mapenzi,na ukiwa na misizani kama utamuaza tena faza mjengo,chamsingi hapo nakushauli njoo hapa kwenye kampuni ya azania ubungo,nitakusaidia kwa namna moja amanyingine,ukifika getini kwa walinzi ulizia namtaka kijana ambae anatoka tanga mtanga nitakuja 2ongee japo kila shetani na mbuyu wake! huyo baba mjengo achananae kwani kashaoa na ukijichanganya2 utakufa ama kujeruhiwa na mke wa faza mjengo,just give me that chance!

    ReplyDelete
    Replies
    1. unapenda kuparamia
      shaur lako..baba mwenye nyumba kastuka kwa haya maboya!!

      Delete
  13. umalaya wako huo. kazi kudandia vya wenzio tafuta vya kwako!!! Kwanza huna lolote. We mbwaa tu.

    ReplyDelete
  14. una mapepo kafanyiwe maombi yakutoke

    ReplyDelete
  15. BADO HIJAMRUBUNI VAA CHUPI HALAFU PITA MBELE YAKE. AU HUVUTII???????????AU KAHABA?????????????

    ReplyDelete
  16. Mpe Ku MA atmbe uone kama utanufaika na chochote Malaya we

    ReplyDelete
  17. jamani tuweni wastaarabu,..matusi sio kusolve tatizo.

    ReplyDelete
  18. We wahitaji toba ya ukweli

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad