Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za magari unaweza kuta hajafa akakugonga...
NYOKA MKUBWA AINA YA CHATU AKUTWA AMEKUFA NDANI YA BONETI YA GARI NDOGO. CHEKI PICHA ZAIDI
19
January 26, 2014
Joka kubwa aina ya chatu la kutwa limekufa ndani ya bonneti ya gari ndogo, joka hilo lilikufa ndani ya boneti kwasababu ya kuungua kutokana na joto kali la engine.,,kuweni makini mnapo fungua bonet za magari unaweza kuta hajafa akakugonga...
chatu anagonga eeehh!!
ReplyDeleteHa ha haa chatu hagongi wala hana sumu, bloger ni mbulula sanaaa. Chatu huua kwa kunyonga au kukaba au kubana daaahh kiswahili kigumu bana. Unakufa halafu anakumeza,
Deletegari la nani hilo?
ReplyDeleteAlitumwa huyo
ReplyDeletechatu hagongii banaa
ReplyDeletechatu hagongi linalogonga nitreni au gali lkn huyo chatu kwenye gali kafikaje jamani
ReplyDeleteHii blog ya kikanjanja anaemiliki anaongoza kwa kuunga unga,hii ishu ya nwaka jana afu ilisimuliwa na tb joshua wa nigeria coz ilitoke nigeria ye anaipandisha leo!
ReplyDeleteHii blog ya kikanjanja anaemiliki anaongoza kwa kuunga unga,hii ishu ya nwaka jana afu ilisimuliwa na tb joshua wa nigeria coz ilitoke nigeria ye anaipandisha leo!
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
DeleteWATU WENGINE BHANA KUKOPI NA KUPESTI NDO JADI YAO. KUBWA ZIMA UNAKOPI VITU VYA NAIJERIA. KAMA UNATAKA KUKOPI BASI SIMULIA ILIVYOKUWA MAANA TUNAFAHAMU FIKA.
Deletewewe ndio unaijua wengine hatuijui, so hakuna ubaya ikipostiwa hata mara mia tano, ndio mana ya mitandao habari inaweza kukumbushiwa. we jamaa vipi...!!
ReplyDeleteweka story yako kama una upeo acha kukandia.
ReplyDeleteAta kama habari ni ya zamani basi wawe wanasema hili tukio limetokea wapi Damit!!!
ReplyDeleteUyo nyoka au mtunyoka yan...! niulize aliingiaje ndan ya engine bila driver kujua.
ReplyDeleteOh! Uyo nyoka eti ni nôuma
ReplyDeletewengine ndo kwanza twajuzwa leo ......hataree sana
ReplyDeletepoa imeeleweka
ReplyDeleteWe acha usenge hapo juu kama ya long inakuusu nini kuma wee wengine walikuwa hawajui.
ReplyDeleteushauri 2 km we urishaipata umeulizwa? mbona unajieleza xana? acha upumbavu na jieshim wengine pia wanahaki yakujuzwa c o ww peke yako mjinga ww
ReplyDelete