PENNY ATOA YA MOYONI "SINTA MKASHIFU DIAMOND HATA KAMA HAYUPO NA MIMI"

MTANGAZAJI wa Kituo cha Televisheni cha DTV, Peniel Mungilwa a.k.a Penny
Ambaye ni zilipendwa wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnum’ amesema katika maisha yake haitatokea akamdharau kwa kumkashifu hata kama si wake tena.

Akipiga stori na paparazi wetu, mwanadada huyo alisema japo kwa sasa ametofautiana na Diamond aliyeweka wazi kwamba yupo na Wema Sepetu hawezi kuwa na chuki dhidi yao.

“Naapa kwa Mungu wangu katika maisha yangu haitatokea kamwe nikamdharau Diamond, haijalishi yupo na nani kwa sasa, thamani yake kwangu itabaki palepale hamuwezi jua namheshimu kiasi gani yule mtu,” alisema Penny.

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Unamuheshimu mtu ambaye hakuheshimu!! Umaarufu nikitu kizuri sana, unajuwa diamond angelikuwa bado anauza mitumba tandale sidhani kama ungelimdate or kumuheshimu. Tusaidie kidogo tafadhali, just cheza ngololo and relaxxx! Abegg

    ReplyDelete
  2. Kwa hiyo akitaka kukutomba tena unamwachia mzigo? Duuu wadau kweli hapa tuache move iendeleee!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Umeonaee ! Kasema hivyo kusudi Diamond ajuwe kuwa she's available wakati wowote akimuhitaji! Inasikitisha

      Delete
    2. Kwa kweli hawa watoto, shule ni kitu muhimu sana. Eehh Mungu uwasaidie Duh!!!

      Delete
    3. Du penny bado anapenda majumba ya diamond na hivi kajenga swimmingpool penny anachanganyikiwa poleeee bi dada.

      Delete
  3. Ulijishebeduwa ukamrikodi mwenzio sasa subiri na wewe zamu yako Penney what's going around comes around lazima uweke heshima la sihivyo utaadhirika

    ReplyDelete
  4. Hata umuheshimu vipi hatokurudia tena! kilichotapikwa akiwezi kurudishwa kinywani!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ila moja ya uwezo wa domo ni kurudisha mataishi yake kinywani....pam!

      Delete
  5. Si alisemaga yeyote yule atakae ingilia penzi lake na Diamond atamroga kama si kumuuwa ! Haya kulikoni??? Lol...sasa ni wakati wakuyapa heshima maisha yako bibi wee , ya diamond muachie diamond mwenyewe eshima no heshima move on ooo !

    ReplyDelete
  6. THE WAY U DEFINE LOVE IS Z WAY DIAMOND ALIKO SASA.
    Mapenzi ya mastaa yako hvyo, ndo maana penny hana wac, akijua one day diamond anaweza rudia kula matapish yake kama alvyorud kwa wema!
    Make huyu bw. Hana weredi juu ya suala la kimapenz....kulen raha vjana mkae mkijua fainal uzeen!
    We penny ni busara ucngeongelea diamond ungekuwa baloz wa wengne kumwepuka fusika mkubwa huyu, na ujue niny nany hamuend kwa diamond kwa penz la kwel bal mnafuata pesa 2 ko malipo yenu n hayo.

    ReplyDelete
  7. THE WAY U DEFINE LOVE IS Z WAY DIAMOND ALIKO SASA.
    Mapenzi ya mastaa yako hvyo, ndo maana penny hana wac, akijua one day diamond anaweza rudia kula matapish yake kama alvyorud kwa wema!
    Make huyu bw. Hana weredi juu ya suala la kimapenz....kulen raha vjana mkae mkijua fainal uzeen!
    We penny ni busara ucngeongelea diamond ungekuwa baloz wa wengne kumwepuka fusika mkubwa huyu, na ujue niny nany hamuend kwa diamond kwa penz la kwel bal mnafuata pesa 2 ko malipo yenu n hayo.

    ReplyDelete
  8. Wote wawili wapumbavu pamoja na huyo domo, mbona kina kiba, dimpozi,mavoko na mwanangu ben pol huwezi ata jua wana deti nani, kila siku domo na hao mikundu wawili.Tupe miziki au material yameisha mukichwa domo tueleze.

    ReplyDelete
  9. sasa hapa nimeamni peny ndo kaachwa, tena bad anampenda sana diamond. ndo kaishalud kwa mpenzi wake kama unaweza kamwibe tena malaya mkubwa

    ReplyDelete
  10. hahahaha wapi mahaba niuweeeeee.peny pole uwizi mbaya ulikua unamganda sana diamond bola kakutimua mwizi mkubwa

    ReplyDelete
  11. KWA WEMA PENY WEWE LAZIMA UKAE PUMBAVU

    ReplyDelete
  12. Mapenzi magumu jamani Polee Penny ndo ukubwa somepipo a meant to be together yani wewe Fanya mpango usonge mbele coz hata Dai akitoka kwa Wema kurudi kwako nin Ndoto
    SO BE STRONG MOVE ON JAPO UTAKOMA
    MAANA KILA SEHEM WEMA NA DAIMOND CJUI UTAMSAUJE KIRAHISI
    FUNDISHO KWA WADADA ACHENI KUHAMIA KWA WANAUME KABLA YA KUA OFFICIAL
    SASA ONA UNARUDI HOME NA VIRAGO

    ReplyDelete
  13. Jamani sikipendi kipenny hakina hata haya eti ntamweshimu kwani kakutoa bikra huyo au katoa bikra ya mkundu kakufira na kakutema hana mpango na wewe hacha kumfatilia yupo na mtt laini mwenye sauti ya kumtoa nyoka pangoni ww sauti kama dume ata uongee kwenye udaku aludi kwako nngoo ww endelea kusagwa na wanawake wenzio sikupendi ww kimbilikimu daimond alikosa kuma hata kwa bure sikubebi kuma mbovu.

    ReplyDelete
  14. Pole dada penny

    ReplyDelete
  15. penny acha movie iendelee, walienda chna kushoot movie na xaxa wako tz bado wanashoot, xo acha iendelee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad