Stori: Imelda Mtema na Erick Evarist
MTANGAZAJI wa Runinga ya Channel Ten, Penniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa sifa ya aliyekuwa mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’ ni kama chizichizi lakini kwa undani zaidi ni mtu makini.
Penny alifunguka hayo mbele ya kinasa sauti cha Ijumaa Wikienda hivi karibuni ambapo mbali na kutamka kauli hiyo, alifunguka mambo mengi yaliyohusu penzi lao ambalo alilitaja kuwa wamelipumzisha kwa kupeana nafasi.
Akizungumzia sifa za staa huyo aliyeogelea naye penzini kwa kipindi cha mwaka mmoja na ushee hivi, Penny alisema watu wote wanamjua Diamond ni kama chizichizi vile kutokana na mapepe anayoyafanya akiwa mzigoni lakini linapokuja suala la uhusiano, anakuwa makini sana.
“Diamond ni kama chizichizi vile lakini kwa ndani ni mtu makini sana. Anajua kulea, anajua umuhimu wa mapenzi na anaelewa anatakiwa kumfanyia nini mpenzi wake anapokuwa nyumbani, anajali,” alisema Penny na kuongeza:
“Watu wamuanavyo nje na jinsi alivyo katika maisha ya kawaida ni tofauti kabisa, mapepe anayafanya anapokuwa jukwaani na sehemu nyingine zinazohusu kazi yake na si nyumbani.”
Katika aya nyingine, Penny alitiririka na mistari kuwa, baada ya kuona penzi lao limetawaliwa na misukosuko, walikaa chini kwa pamoja na kuamua kupeana nafasi ya kila mmoja wao kufanya mambo yake, hakuna kati yao aliyemtamkia mwenzake kuwa sikutaki.
Alisema katika maisha huwa hapendi vitu vya kuambiwa, hata aliposikia taarifa za Diamond kurudiana na Wema kwa mara ya kwanza nchini China, hakuamini hadi walipokuja kukaa naye na kuzungumza ndipo walipoamua kupeana nafasi.
Hata hivyo, Penny alisema anaamini kuwa Diamond amerudiana na Wema lakini yeye kwa sasa ‘bado yupoyupo sana’, akakiri kuwa anatongozwa na watu tofauti na endapo ikitokea akaamua kuanzisha uhusiano mpya, hatahitaji mtu maarufu kwani anahitaji maisha yake kuwa ya siri, tofauti na zamani.
GPL
sawaaaa, take care mama
ReplyDeletembona simwelewi huyu penny. mmepeana space mara unasema huhitaj mtu maarufu tena naona hujielewi vizuri. naona kombora ulopigwa hutakaa ulisahau
ReplyDeletePenny pole ucjali mumie,, mungu atakupa mwenye manufaa nawewe npo kwenye mazungumzo na clement kuhusu kuchukua kati ya wewe na wolper hvyo poa. Muda c mrefu 2namrestisha m2 in peace
ReplyDeleteHuyu mwanadada naona hajielewi, she keep on making contradictory statements kila kukicha.My advice to you- stay away from the media....and get over it.Ku break up kwenye relationship wewe sio wa kwanza na hutokuwa wa mwisho.
ReplyDeleteNo!! Udaku ndo wanajicontradict, mahojiano ya siku moja wanatoa vipande tofauti tofauti kwa kupindisha mambo ili kuuza habari!! Haya ni mahojiano yale yale, ni habari ile ile wanapindisha vitu vidogo vidogo kufanya kama habari mpya
DeleteUnajuwa huyu demu bado yuko kwenye Denial, lakini itafikia wakati ata accept na hizo contradictions zote zitakwisha......is part of grieving process......huwa inachukua muda mrefu ku recover. Actually is up to 4 years for an average person to recover. Kwa hiyo sana sana is to wish her the best of Luck!!!
ReplyDeleteumeachwa dada unasifia nini?au unataka akufikirie upya acha ukuma unakatwa ww
ReplyDeleteHata umsifu vipi hatokurudia ushatapikwa huwezi kuliwa tena!
ReplyDeleteHv wewe penny huoni noma kujipendekeza kama unataka ndo superstar kuna mwanangu kinyambe wa vi2ko show hana demu
ReplyDeleteMuosha huoshwa...! Ulimnyang'anya wema tonge nae kalirudisha kwake...pole sana bibie penseli.
ReplyDeleteJamani naomba kuwauliza hivi Hawa mademu Hawoni kinyaa za kushea shahawa? Manake anangata maneno sitaki nataka. Kwa hiyo dai akimwacha Wema yeye atamkubali? Kweli mjini chuo kikuu. Eti wote hao ni vioo vya jamii. Hii kampeni ya tokomeza ukimwi Hawaogopi? Ni cheni ndefu mazee but sina la zaidi ila nampa Daimond wazo zuri. Jipange tena ujipange sana usije kubaki na histori Kama akina Fulani. Ni hayo tu mie napita. Have a nice day bye
ReplyDeleteAsante sana mdau, nimependa kauli yako aisee
DeleteDomo kitombi,penseli kitombwa
ReplyDeleteTehe tehe......
Naomba kuuliza hivi dawa ya ukimwi imeshapatikana kwani hii cheni ni ndefu na ninavyojua Domo anataka mtoto sidhani Kama anatumia kinga we pencili jitambue kapime ngoma Kama umesalumika Kaa mbali na Domo mshukuru Mungu wako
ReplyDeletelol cheni ndefu anzia majumbani kwenu, baba mama mpaka watoto na hausi geloz to boys. sema tu hawa wako famous ndio mimacho imewatoka. je nyie mko salamaaaa???? wanaume woote vitombi baiskeli ya kijiji muulize mama yako alivyoteseka.
ReplyDeleteBado ana mawazo huyu ya kurudi kwa Diamond, hamna lolote, na huyo diamond, ushaaema chizi chizi ndivyo hivyo alivyo ni chizi chizi tu. Hamna umakini wowote, zaidi ya huo uchizichizi, kama uliowona, sasa wewe usepe kabisaaaa, na uache ndoto zako za kwamba nawe utarudisha majeshi kwa huyo domo
ReplyDelete