PICHA MBALI MBALI ZA MAKAMANDA WA CHADEMA WAKIWA KATIKA HELKOPTA..

Makamanda wakiwa ndani ya Helkopta kuelekea katika Operesheni Pamoja Daima, Kilelema.

Tags

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. PEOOPPPPLEEEE POWEERRRRRRS! DAIMA MBELE.

    ReplyDelete
  2. Democracy 4ever babie

    ReplyDelete
  3. hawana lolote wakipata nchi watasahau Yote na kuanza kujinufaisha wao na familia zao. Sitaki kusikia kuhusu chama chochote kile wote walewale tu wanafki wakubwa mfyuuuuuuuuuu

    ReplyDelete
  4. Wazee wa kazi kaza buti.

    ReplyDelete
  5. Nao wachaga hamna lolote

    ReplyDelete
  6. Hao hatudanganyiki hata kwa chopa

    ReplyDelete
  7. CHADEMAAAA HOYEEEEEEEEE 2015!! TUNAWATEGEMEA.

    ReplyDelete
  8. HAMNA KITU CHADEMA IMEPOTEZA MVUTO

    ReplyDelete
  9. Matako yako ndo yamepoteza MVUTO.

    ReplyDelete
  10. makamanda kazeni buti hakuna kukata tamaa achana na hao ambao wanangojea kugeuza matokeo

    ReplyDelete
  11. Hao ni "wasakatonge" tu hawana lolote. Hoooovyo!

    ReplyDelete
  12. Kulen bata washkaj zangu mxogope kurogwa waachen makada wale ccm,kulusha choper kwao mwaka mala moja.

    ReplyDelete
  13. Wanakera wanaosema "chama cha ukanda cjui udini"
    kwahyo mlitaka viongoz watoke nje ya nch ndo mseme cio cha ukanda au udin, mbona kuna waliopo green city (mbeya), dar, A town(arusha), irnga, kigoma, singida, n.k!!
    Kwahyo hyo mikoa ipo sehemu moja.
    ACHENI UFALA
    WAACHENI WANAHARAKATI WAZIDI KUWAPAMBANUA WA~TZ ambao wanaitaji kuelimishwa juu ya UOZO unaofanywa na chama tawala

    ReplyDelete
  14. Acha usenge unatoa mifano ya Mbea,Arusha,Na Iringa sasa we ulitaka atoke mtu uchagani akagombanie ubunge mkoa mwingine,,hiki chama ni kweli cha ukabila Na udini..Sisi tulikuwa tunaambiwa kanisani tuipigie chadema tuachane Na CCM Kama si udini ni nini?

    ReplyDelete
  15. ok chagueni wahindi,na waarabu wa loliondo,watawale nchi,? eti ukabila,dini,,si kila mtu anadini,na kabila au unataka kukataa dini yako,,uongozi ni kipaji,hao wote ni watanzania,au chagueni wachina,km kweli hamjipendi,madini yameisha mbuguni na yalipitia Kenya mbona hamkushtuka?,loliondo iliuzwa,mbona wenyeji hawakuamka?,kwani uchagani hakuna makabila mengine?,kweli aliyexoea kunyonga kuchinja hawezi,ok uwoga utawale,

    ReplyDelete
  16. Tabia za nchi za afrika,zinatisha sana unasikia kabila,hiyo roho inatisha,chagua mtu kutokana na uwezo wake sio back groud yake,au mnataka kizazi kipya km vile marekani ilivyo wamaliza wahindi wekundu na kuchukua nchi?pendaneni kinchi kina watu milion 45 hadi 48,watu bado wate weusi,bado wanaangalia sura,kabila,mnagombania nini?,tunakuwa km jamaa wa S sudan,wote weusi na babu yao mmoja bado wanagombana,shida yetu hatujui madhindano ya hoja km debate tunashida ya kulazimisha mambo,hatuta enda popote,watu wanakufa njaa,shuleni watoto wanakaa chini,hospitali hakuna madawa,barabara mbovu,masoko ya bidhaa zetu yametushinda,tunabaki kuangalia huyu mrefu,yule mfupi,tutakuwa watumwa wa dunis tusipobadilika ndio maana wageni wakifika kwetu hawaondoki kwa kutoa siri zetu zote,mbona msikitini tunasali pamoja,kanisani pamoja,university pamoja shida ni kwenye siasa? basi wakoloni warudi kwa sababu jamaa wakiona mtu mweupe wanaeleza kila kitu hta km hajala,kwa wageni ,hapo ndipo tutatawaliwa zaidi duniani,tunauzs malighafi kwa wageni tunabaki km mayatima wakati Mungu alitupa kila kitu,tuna baki kulalamikia viongozi?kunasiku ulisha mwonya kiongozi wako madhara ya hayo ambayo hutaji?utazeeka ukilalamika .

    ReplyDelete
  17. Makamanda kazeni mkundu msije firwa kama lema

    ReplyDelete
  18. c wapend hata kdogo ukanda majungu v jembe ndo vimetawala chama change uhakkshe huna migogoro chaman ndo uanzshe mvnt

    ReplyDelete
  19. sasa nani kakulazimisha uwapende kama wewe ni fisadi? hakuna FISADI yeyote atakaye wapenda CHADEMA, nyie kuleni nchi ipo siku moja itakuja watokea puani, Mungu yupo, gooo Chadema!!!! we love you makamanda!! 2015 oyeeeeee.

    ReplyDelete
  20. kenge wewe hata chadema mafisadi na wahuni hao wanafuja pesa zetu watanzania,ila wewe hujui ndio maana unashadadia,kama wangekuwa wakombozi wa watanzania si wangesaidia saizi gharama ya maisha imepanda umeme bei juuu then kenge hao wanadai wanatusaidia,wakati mbowe anaishi kitajiri na pesa zetu walipa kodi still anachota na kuleta mapenzi kwenye kazi,ipo siku apa hapatatosha kwa yoyote kenge nyie,mliojivika udini na ukabila mkikosolewa mnakujaaa juuuuu,

    ReplyDelete
  21. unageuzwa wewe, kwani Chadema ni serikali mpaka ikusaidie kwenye kupanda gharama za maisha, inaonyesha wewe elimu yako ni ndogo ndiyo maana hujui kinachoendelea, pumbaf.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad