PICHA:KOMANDO WA TANZANIA AKIVUNJA TOFALI LA NCHI SITA KWA KUTUMIA KICHWA..NOMA

Komandoo akivunja tofali kwa kichwa kwenye uwanja wa Amani siku ya kilele cha sherehe za miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Post a Comment

15 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. sasa sisi tumfanyeje?

    ReplyDelete
  2. sasa sisi tumfanyeje?

    ReplyDelete
  3. Walitisha sana hakika wa ukweli

    ReplyDelete
  4. HAWA JAMAA NOMA KAMA ULIANGALIA WALITISHA SIKU ILE

    ReplyDelete
  5. Ina 2concern nn

    ReplyDelete
  6. Kama hayakuhusu unafungua nn huku mpaka kucoment humu we matako??? @8:43AM

    ReplyDelete
  7. Jamani nimechekaje?mdau hapo juu safi kabisa sasa kweli sisi tumfanyeje?

    ReplyDelete
  8. Mshenzi ww ayakuusu kwa sababu unatembea kwa amani mtokege kidogo mjifunze washenzi nyieee wote wasiyo wausu

    ReplyDelete
  9. Watanzania ni wajinga hawawezi kisifia mtu hata siku moja. Lazima wachonge sana.

    ReplyDelete
  10. Huyu comnd wa kuvunja tofari mambo ya zamani.who cares

    ReplyDelete
  11. Nan kamwambia magaid wanavamia na matofali??!! Waulize westgate uone ka kuvunja tofali kwa kichwa kuna saidia!!!

    ReplyDelete
  12. Blog ya kikuma

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad