PICTURE OF THE DAY-EMBU MWAMBIE KITU HUYU JAMAA

Huyu Jamaa noma kweli ...Embu Mwambie kitu chochote labda atajitambua ..maaana anachungulia kifo huyu jamaaa.....

Post a Comment

11 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Vichekesho tu...upuuzi mtupu...

    ReplyDelete
  2. keep sleeping untill the train arrive

    ReplyDelete
  3. Amesahau kushusha net kwani hajui kama maralia inaua?pia namtakia usingizi mwema

    ReplyDelete
  4. Amebip anasubiri kupigiwa

    ReplyDelete
  5. Kufa lazima lakini kwa mtindo huu du!!!!!!????? ctaki.

    ReplyDelete
  6. Ulevi+kuvurugwa=kifo tu.

    ReplyDelete
  7. Ulevi noma ama kweli pombe sio chai

    ReplyDelete
  8. We duwa Hussein huna akili hadi useme hicho kiungo,laanakum we we.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad