PREZZO AJARIBU KUMUIGA DIAMOND...ILA AMECHEMKA MBAYA JINA LAKE LAZIDI KUHARIBIKA BONGO

Kweli kabisa kuna mambo Kama ni wasanii wanaigana katika njia yakujipatia umaarufu especially Kama kila unapojaribu kufanya haya-turn out mazuri ni bora kuachana nayo kabisa,hapa tunaongelea hili la u-playboy au kwa maana nyingine ni kule kujaribu ku-date na ma-star wenzao ili tu kutafuta headlines kwenye magazeti ya sehemu mbalimbali sometimes kweli si ishu.
Hivi karibuni kwa kipindi cha muda mfupi tumeona jinsi msanii huyu PREZZO akiendelea kupata lawama na message mbalimbali kwenye mitandao yakijamii kutoka kwa wapenzi wake  pale tu wanapoachana,hii imekuwa inamtengenezea sura mbaya kWa mashabiki wake na hata kupoteza baadhi ya mashabiki kWa vitendo hivi.

Kusema kweli Kama alikuwa anamuiga Diamond platnumz kutokana na story zake za ku-date na stars mbalimbali,habari zinazopewa headlines hadi kwenye magazeti ya nchi nyingine nje ya Bongo na hata akiachana na demu wake hauwezi kuona wanatukanana kwenye social media. Diamond anaonekana ni mtu anayemuheshimu mwanamke na katika interview zake amekua akizungumzia swala hilo na hata celebrities aliyowahi kutoka nao wamesema hivyo pia , hiki ndicho kitu ambacho prezzo amekosa.

Basi inabidi kujipanga upya,cause so far kila manzi anaye date naye imeonekana kum-diss msanii huyu tena hadharani wanapoachana,wakiwemo Hudda Monroe kutoka Kenya na m-tz mmoja maarufu Kama chaggaBarbie aishie huko marekani.
Katika harakati hizi za kujipatia umaarufu zaidi hasa kupitia hobbie nyingine ambazo ni haramu Kama hizi ni vizuri Kama mtu atakuwa mpole na kuandokana na hizi hali za kukurupuka ku-date na kila msanii maarafu ilimradi tu nae ajione kama beyonce na jay-z.
CREDIT:VIBE

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. admin huna akili yani prezoo wa kumuiga diamond????

    huyo.jamaa skendo za uplay boy amezianza hata kabla huyo diamond ajaanza mziki...... unaandika habari wakati hata hujui historia za watu hahahah

    ReplyDelete
  2. Admin unabooa na habari zako za kufagilia watu huyo prezo naona umemjua baada ya kushiriki big brother jamaa ni playboy kitambo unaboa bana admin

    ReplyDelete
  3. Uyo prezoo domo kama mkundu ndo umfananishe na dimondo.dimondo ana domo ila la h mwanaume kwa kuyu teja limezidi .yani prezoo ananikera sana huyu kaka kwa kuvuta unga na kumvutisha dada yetu diva co siri kamuharibu sana sasa hv ayakua km ray c manake anaubugia c mchezo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kama unamchukia mchukie tu, lakini humpunguzii chochote jamaa yupo yupo sana tu kwenye game, kazaliwa kwenye mansion na bado anatesa, hajui shida toka anazaliwa sasa mtu huuyo ukamfananishe na Domo D. unaweza mchukia mtu, lakini ukweli utabaki pale pale Diamond hamfikii Prezzo, bado sana.

      Delete
    2. Huyo dada yako diva alibakwa, si kajipeleka mwenyewe sasa unataka Prezidaa afanyeje, hata mama yako akitaka we mpeleke tu Presidaa atamshughulikia tu. mdau unaonekana akili yako ni finyu sana. Pole.

      Delete
  4. Diamond bado sana kwa Prezoo, Prezoo yuko kwenye hili gemu wakati diamond ndio anazaliwa huko Mbagala. Go and google Prezoo ndio ujue history yake, sio kuandika tu.

    ReplyDelete
  5. Achen ukundu kwan kuwa ktk game mda mrefu ndo kufanikiwa au.....waaenge kwel nyie

    ReplyDelete
  6. We blogger senge tu sa waeza fananisha huyo domo platina na prezzo? Kama hauna la kuandika bora ukafirwe

    ReplyDelete
  7. Admn bonge la fara arifu anaongea ndichi za kisoro ni bora ukabero na machalii wa maniaje hapo kwako

    ReplyDelete
  8. Acha ushoga admn

    ReplyDelete
  9. Prezoo ni playboy anawapata malaya kama kima chagabibi walomaliza dunia hahahaha

    ReplyDelete
  10. ARSENOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOINATISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA MAN U KIMEOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad