Ray C yupo single.. at least kwa muda huu.
Akiongea na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini amekiri kuwa usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume si mdogo.
“Sijapata bado mchumba nilikuwa nawachombeza fans wangu kwenye Instagram kwasababu nasumbuliwa sana.”
Kuhusu nyimbo mpya, Ray C amesema mwaka huu atarudi kwenye muziki kwa kuachia nyimbo mfululizo akianza na ‘Walimwengu Wote Wajue’utakaotoka mwezi March.
“Wapenzi wa muziki wangu wakae mkao wa kula,nyimbo zipo tayari bado kuziachia tu. Mwaka huu nitaanza na wimbo ‘Walimwengu Wote Wajue’ ambao umefanyikia chini ya C9 Records. Baada ya hapo harakati za muziki zitaendelea,” alisema Ray C.
Katika hatua nyingine, Ray C ameandika ujumbe huu kwenye Instagram: Yes am back……Ingawa wabaya wangu walitamani nisipone…Mungu alinipenda zaid…back to life ….am back Yo!!!Sty Tuned….Big Things r
coming.
RAY C "BADO NIPO SINGLE JAPO BADO NASUMBULIWA SANA NA VIDUME"
13
January 08, 2014
Tags
Hv we teja anaekusumbua ni nani? umeshaisha kila cku unatoa story za ajabu ili upate kiki mtu mzima hovyoo.. ushazeeka huna jipya hata hzo nyimbo utakazotoa cdhani kama zitafunika kama zamani
ReplyDeleteNimekupendaje hapo juu mtu mwenyewe katumika mpaka mashini yake imezeeka amtake nani wakati watoto wazuri kibao waje kwa wewe maarage ya mbeya maji maramoja oooooooooooovyo.
ReplyDeleteNyinyi hapo juu hamja toka inje ya Tanzania ndio maana hamuelewi maandishi namuomba raisi wa Tanz afungue vituo vya ueleweshaji inchini ili watu wawe wanaelea maandishi.Lini sisi wa Bongo tutaelimika? jamani tusiwe tunaandika andika bila kuelewa tunacho kiandika.
ReplyDeleteNa kupenda hapo kwa kweli sisi wa Bongo bado tupo nyuma kwa kila kitu.Kinacho nishangaza ni kuona inchi yetu ina amani na haina vita kama inchi zingeni ila sasa kwa nini sisi tupo nyuma kwa kila kitu? na tunashindwa na inchi ambazo zipo ndani vita? elimu ipo chini kabisaaa tizama wote wanao komenti ni wale ambao hawana elimu wanaandika tu bila kuelewa nendeni shule jameni ili tuokoe inchi.
ReplyDeleteAwa watu wa michiliku .wana matatizo
ReplyDeletemavi yako unalolote!
ReplyDeleteUngekuwa na elimu ungejaji upuuzi huu acha utahla wako .
ReplyDeletemkundu wako wee nenda kale unga huko!
ReplyDeleteKwa hiyo Ray C unatafuta bwana kwenye mtandao? si uendelee na Ruge au unamuogopa Zamaradi, mbona wewe ni mzuri kuliko Zamaradi, jiamini kama vipi miliki huyo Ruge moja kwa moja, kwani kuzaa ni nini bwana kama Zama kazaa kimpango wake hata mbwa anazaa, kwani huyo Ruge mbona anawatoto wengine?
ReplyDeletebongo majungu nyi mnataka akaongelee choon alivyo kuwa tena muliongea mpaka bac. sasa kaacha poda bado jungu zile zile achen afanye yake tuelimike tz .ray c shusha ngoma mi mwenyewe na mzuka na kiono chako tena usichelewe kutowa video.
ReplyDeleteHuyo ni dem au pusha
ReplyDeleteBWANA AKO UNADHANI HATUMJUI YULE MZEE WA ARUSHA,TENA NI MZEE NA ANA BONGE LA FAMILIA! WE PALE HUNA LOLOTE UMEFUATA PESA TU! UKIBISHA NAMTAJA!
ReplyDeleteTaja.
ReplyDelete