Web

RAYUU ASEMA MANENO MAZITO YA KWAMBA, "KINGWENDU ANAKILA SIFA YA KUWA MUME WANGU "

MSANII wa kike wa filamu Bongo Alice Bagenzi ‘Rayuu’ amefunguka kwa kusema kuwa mwanaume sahihi kwake na anayestahili kumuoa ni Rashid Mizengwe ‘Kingwendu’ kwa kusema anaamini ndiye anaweza kuwa mwaminifu na kuishi naye kwa raha tofauti na mwanaume mwingine yoyote endapo atapata bahati ya kuolewa naye.

“Unapofika umri fulani suala la kuolewa si mjadala bali ni lazima iwe hivyo lakini shida inakuja je utaolewa na mwanaume anayekujali, kuheshimu na kukupenda? Basi kwangu nataka kuolewa na mwanaume kama Kingwendu naamini nitakuwa na amani raha mstarehe, tofauti na kama nitapata sharobaro sina hakika kama atanijali,”anasema Rayuu kwa fulaha.
Rayuu alisema hayo alipoongea na Maskani Bongo katika mahojiano yake na gazeti hili kuhusu mume gani bora kwake na angependa kuolewa naye na kuishi kama mke na mume, msanii alisema kuwa anahitaji mtu aliyetulia sambamba na umri wa makamo na mtu anayempenda sana kama awe mumewe ni msanii mwenzake Kingwendu au anayefanana nae.
TOA MAONI KUHUSU HABARI HII

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyo amekata tamaa

    ReplyDelete
  2. Story ya mwaka jana, udaku umeishiwa.

    ReplyDelete
  3. anatafuta umaarufu huyo

    ReplyDelete
  4. Uamuzi ni wako bibie!

    ReplyDelete
  5. Hakuna lawama katika mapenzi,Masharobalo wana chembe za ushoga,Nimependa maamuzi yako Dada....

    ReplyDelete
  6. Jaman mi ndo kingwendu anitafute kwa 0754117906 kama Yuko siriaz

    ReplyDelete
  7. Hongera Rayuu coz ndo yaliyoko moyoni mwako.

    ReplyDelete
  8. anatafta kik hyo

    ReplyDelete
  9. dem unatafta kiki,umeona umesahaulika et

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad