Web

SAMAHANI KWA PICHA HIZI AJALI MKOANI LINDI BASI LAGONGANA NA ROLI KUMI WAFARIKI 28 MAHUTUTI

Top Post Ad




Jana majira ya saa nane alasiri Basi lenye lenye jiona maarufu kama ALLHAMDULILAH lilipata ajali mbaya huko makoani Lindi watu kumi walipoteza maisha papohapo na 28 mahututi wapo Hosptali ya mkoa wa lindi  sokoine,

Chanzo cha habari kiliieleza paparazi kwamba chanzo cha ajali hio ni baada ya Basi hilo kugongana na Roli la mizigo wakati basi hilo likitokea Dar kuelekea mtwara, 

Likapoteza muelekeo na kupinduka mita kadhaa kutoka barabarani istoshe kulikuwa na utelezi mkali kutokana na mvua kubwa iliyonjesha mda mchache kabla ya ajali.


Below Post Ad

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. INNALLILLAH WA INNALLAH RAJIUN R.I.P tHose who died we are back

    ReplyDelete
  2. Mungu awarehemu waliotangulia mbele ya haki na awape nafuu waliojeruhiwa wapone haraka waungane na familia zao amin.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana libarikiwe. Amin

      Delete
  3. Mungu uwarehemu

    ReplyDelete
  4. we are same way.

    ReplyDelete