SANDRA NA RUSHWA YA NGONO BONGO MOVIE

Stori: Mayasa Mariwata
STAA wa filamu Bongo, Salma Salmini ‘Sandra’ amesema kuwa tangu ajiunge Bongo Movie hakuna manufaa aliyoyapata kwa kuwa chama hicho kinaendekeza ubaguzi kwa kuthamini rushwa ya ngono.

Akipiga stori na paparazi wetu alisema, kikubwa kinachoikwamisha tasnia hiyo ambayo kwa sasa inaongozwa na Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ ni watu kusaidiana wenyewe kwa wenyewe kwa kuwa labda wanatoka kimapenzi au kutegemea kupewa rushwa ya ngono ili impe shavu mtu.

“Namsihi sana huyu kiongozi wetu wa sasa awe makini na hili suala, yeye pamoja na utawala wake wote wapinge haya mambo na tushikamane ile kuleta maendeleo, maana kila siku wanaopewa madili ya maana ni walewale lakini wengine tunaheshimika kwa majina tu huku dhiki zikitutawala,” alisema Sandra.
Source:Global Publishers
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umeeleweka mtotomzuri!!!

    ReplyDelete
  2. bongo movie mko wapi ni miziki tu tunaisikia now tangu marehemu aondoke hv mnauza kweli tafakar chukua hatua

    ReplyDelete
  3. na wewe si utoe hicho kidudu chako la sivyo dhiki itakutawala shauri yako..utakibanabana mwisho kitaliwa na nyenyere

    ReplyDelete
  4. Kwanini ww umeshindwa nn kutoa ili uondokane na dhiki?

    ReplyDelete
  5. Pumbavu..wewe unae mshawishi Sandra atoe rushwa ya ngono.nenda wewe usie na mbele wala nyuma.shenzi type

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad