SHAFFIH DAUDA"LEODEGAR TENGA ALI-FAIL BIG TIME KWENYE UTAWALA WAKE TFF-HASA HILI LA MIKATABA MIBOVU"

"Nilitegemea Juzi niliposema mikataba mingi iliyosainiwa wakati wa utawala wa Tenga ilikuwa BOMU, cha kusikitisha baadhi ya rafiki zangu humu ndani walikuja na maneno ya kashfa, badala ya kufanya utafiti kwa upande wao kugundua kama nililolisema lina ukweli ndani yake ama la,nadhani sasa baada ya kwenda viwanjani na kujionea hili la Tiketi za electronic mtakuwa mmeanza kuamini maneno yangu niliyoyafanyia utafiti wa kina"

Kauli yake ya Mwanzo:
"Niliwahi kusema Leodegar Tenga kwenye utawala wake wa TFF as an Individual alikuwa mtu poa sana lakini kwenye utawala wake akiwa kama Raisi pale TFF ali-fail big time,alifumbia macho shirikisho kuingia MIKATABA MIBOVU kabisa on Earth." Shaffih Dauda
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. FISADI MOJAWAPO

    ReplyDelete
  2. Shafii daudi upeo wako na maono yako ya mpira kwa ku copy na ku paste ndio vimekufikisha kuandika makala hii isitoshe shafii daudi kutolewa kugombea nafasi Tff Ni moja Kati ya hasira zako,hivi dauda umetokea wapi kwenye soka?kuhoji juu ya tenga?hili hali mpira hujui?kujifanya mtafiti wakati unakaa kwenye net ku copy na ku paste?umetoka kwenye mada uliyoanzisha umekimbilia kwenye tiketi?ndumilakuwili.kinachotokea kwenye tiketi Ni changamoto Tu na umbumbu wako wa kushindwa kuchambua mambo kwa mapana.usitake umaarufu wakati wewe Ni mshamba hata mpira umerukia Tu.tenga Ni kiomgozi thabiti na mfano kuwahi tokea katika soka la bongo.hoji clouds kuingia mikataba na wasanii wa nje kwa gharama kubwa huku mkiwa nyonya bongofleva wa Tz.grow up huitaji kwenda shule au kuwa na elimu ya juu kutambua aliyoyafanya tenga.f

    ReplyDelete
  3. Bg up Shaffii. Tenga alichemka na wanaosema kafanya maendeleo ktk soka la bongo n uongo. Maana tangu yy aingie madarakan clubs zetu hazkuwah kufanya vema ktk mashndano ya Africa, na wanao sema umetokea wap kwene soka hawajui tu kwan kujua soka c lazma ucheze simba au yanga unaweza ukachezea hata Tigger FC ya Makete au Veteran ya Geita bado ukawa mchezaj na mtu ukajua soka na isitoshe naweza kutocheza mpira kabsa af nkasomea mpira nkajua vle vle na kama utasema viongoz wawe wanasoka haiwezekan mana kwa TZ soka n substitute ya xkul so hawa wachezaj hawawez kuwa viongoz ko lazma watu kama Shaffii na wengne wanaojua waingie kuokoa jahaz. So bg up sana kaka shaffii na la electronic ltawaumbua sana nas n kutia vurugu na kuingia bure kama mkwakwan vle na tahadhar kwa wasimamiz wa vwanja kwa mpango wa TFF wataumiazwa sana na mashabk. Na ww unaemdis Shaffii unamatatizo mana unatumia lugha chafu bla sababu, acha hzo tumia akil kuhoj mambo uckurupuke.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad