SHILOLE AJIWEKA KWA MZUNGU..ASEMA "NILIPOTAKA NIMEFIKA SASA"

Na Gladness Mallya na Hamida Hassan
KWA mara ya kwanza msanii wa filamu na muziki Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa akiwa na mwanaume wa Kizungu anayedaiwa kuwa ndiye mchumba wake

Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, safari za mara kwa mara za Shilole nchini Uingereza zimekuwa zikisababishwa na mchumba huyo wa Kizungu ambaye huwa anamuita kufurahia penzi lao pamoja na kumtafutia shoo mbalimbali.

“Ukweli ni kwamba Shilole ana mchumba wa Kizungu na walikutana kwenye shoo ya mara ya kwanza aliyoenda kufanya nchini Uingereza na hivi karibuni ataenda tena na amealikwa na huyo mchumba wake,” kilisema chanzo hicho.

Gazeti hili limekuwa la kwanza kunasa picha kadhaa za Shilole akiwa katika mapozi tofauti ya kimahaba na Mzungu huyo.

Baada ya chanzo hicho kumwaga ‘upupu’ huo, mapaparazi wetu walimtafuta Shilole ili aweze kufunguka ambapo bila kuumauma maneno, alikiri kuwa amepata mchumba huyo aliyemtambulisha kwa jina la Ankar.

Akizidi kumwaga data za boifrendi wake huyo, Shilole alisema awali walikutana kwenye moja ya shoo zake nchini humo ndipo urafiki ulipoota mizizi na kufikia hatua ya kuwa wapenzi.

“Kweli nina mchumba Mzungu ambaye ni raia wa Uingereza, nilipokuwa napataka nimefika, sipindui tena. Unajua muziki wangu na mauno yangu yanawavutia sana watu, siku ya kwanza aliniona kwenye shoo akanipenda ndipo tukaanzisha urafiki.

“Hivi karibuni nina safari ya kwenda nchini humo kwa mwaliko maalum alionipa, nitaenda peke yangu kwani safari nyingine zote zilizopita nilikuwa naenda na watu,” alisema Shilole.
Source:Global Publishers

Post a Comment

23 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hebu acheni uwongo huyu jamaa sio mzungu na pia ni shoga anaimba taarabu kama hana akili vizuri

    ReplyDelete
  2. waumize kina snura kutwa kukupa vjembe hawakuwez et unadanganya uko china kumbe upo mbezi waulize bbc ealikufata mbezi?uliosha ulivyohojiwa na bbc umewakata kilimilimi ye ulaya hata kwa kidole hapajui upo juu

    ReplyDelete
  3. Malaya kama engine ...bongo muvi wengi wao vicheche...shenzy

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kisa ana bwana mzungu ndo malaya...hahahahahaa....wanaume wa kibongo ovyoooo....nyie mwanaume mwenzenu akiwa na mzungu ni sawa.. mwanamke aaaahhh muhuni. Jitahidini na nyie mpendwe basi.

      Delete
  4. Ahh shilole hy mzungu mchina duu jamani shule inasaidia sana

    ReplyDelete
  5. Sasa yeye na huyo mzungu wanaongea lugha gani?!

    ReplyDelete
  6. shilole haongei kingereza itakuwaje apate bwana mzungu kama si waongo nyie! wacheni uzushi!

    ReplyDelete
  7. Kaz ipo kwa hawa dada zetu

    ReplyDelete
  8. Tigo tu!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  9. http://bigcashjob.com/?share=64498

    ReplyDelete
  10. atakutomba weee kisha atukubwaga kuma wewe

    ReplyDelete
  11. Kazi hipo kweli mdau. Eti shilole awe na Mzungu? Dunia imevaa andasketi hao wazungu ataishia kuwaona mlimani city. Kiko wapi johari na Mzungu Wa Canada? Mtaishia kufirwa na wabongo kuma zimekuwa kubwa km Marlboro. Ukome Kukira wazungu Wa watu

    ReplyDelete
  12. ACHA USHAMBA SHILOLE. AKUTAKE NANI KISALATA WA MTAA.

    ReplyDelete
  13. Jamani huyo ni msenge na alishawahi kuolewa na mtanzania visiwani huko na ameishi zn huyo ankal na ana ongea Kiswahili vizuri sana na kuimba taarabu

    ReplyDelete
  14. Hahaha hankil ni msenge kaolewa zanziba na anaishi northamptorn chunguzeni kabla kuandika

    ReplyDelete
  15. Acheni shilole ajijotee teluji kutoka ungereza

    ReplyDelete
  16. Mange kimambi kawaharibu kweli,kila mtu ataka mzungu.ale bata,

    ReplyDelete
  17. mwezenu yupo kazini......money money

    ReplyDelete
  18. wewe bila kumtaja mange wawatu huwezi kwenda chooni kujitawaza?mange kweli anakunyima usingizi kisa maendeleo yake.Pole bahati ya mwinzie usilalie mlango wazi, tafuta na wew yako utapata na wacha roho mbaya na watoto wawenzie habari hapa ni shilole sasa mange ameingiaje hapa

    ReplyDelete
  19. Shilole malaya mshamba rudi igunga kumawe

    ReplyDelete
  20. kumbe mzungu wenyewe shoga pole shilole.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad