SIRI ZAZIDI KUFICHUKA CHADEMA:SOMA MAJIBU YA ZITTO KABWE KWENDA KWA TUNDU LISSU



Ki ukweli kazi ipo chadema..Nomaaa
Tags

Post a Comment

26 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Siasa is like mathematics,wote hawa si vyema kurumbana,wanapaswa kuheshimu misingi ya chama chao na utawala bora,but kumuheshimukubwa wako no jambo jema zaidi(utii ni bora kuriko....)

    ReplyDelete
  2. Zitto just get out in chadema.ur still yonger. future is on your hand.wachaga ni moto mwingine utakufa bule

    ReplyDelete
  3. Big up brother, wakupe rungu la kuwataja na waloficha mafwedha uswisi kama wao wanaogopa. dah kyadema kwisha habar yake.

    ReplyDelete
  4. Yaani zito ni kama mwanamke malaya ulikuwa wapi kuyasema mambo uliokuwa unayajua tangu mwaka 2005? Saa hizi ndo unayasema, wanasiasa wote ni washenzi kabisa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aanzae haonekani mbaya ila amaliziae....wamemuanza wenyewe acha atujuze tuliyokuwa hatuyafahamu

      Delete
  5. Yaani zito ni kama mwanamke malaya ulikuwa wapi kuyasema mambo uliokuwa unayajua tangu mwaka 2005? Saa hizi ndo unayasema, wanasiasa wote ni washenzi kabisa.

    ReplyDelete
  6. Bull shit!!miaka yote hii kuna rushwa ilikuwa inaendelea ulikaa kimya na ulikuwa unakifagilia hicho chama, zito pamoja na hao wote hamfai, yaani unajimaliza kabisa katika ulimwengu huu wa siasa ndugu yangu zito, bye bye Mr kabwe.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aseme hajipendi?? wange mchacha wangwe!!

      Delete
  7. Na tundu lissu alikuwa wapi kuyasema hayo anayosema?mwacheni zito aongee jamani

    ReplyDelete
  8. Mnachokifanya chadema ni upuuzi na mjue. Kuna watu eanashangilia wanaona kwao ni ushindi

    ReplyDelete
  9. huyu jamaa ni hanithi, tena mkubwa, hauna maana wewe, na kwanini umekimbilia mahakamani? ondoka tu chadema, siyo kwako huko, hata useme nini, watu bado tunataka mabadiliko acha kusema upuuzi, nenda tu kajiunge na mafisadi, nyie ndiyo mnataka haribu hii nchi yetu ya amani.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hanithi mamako,ataenda popote kambi

      Delete
  10. Hapo ndipo utagunndua mbowe anatafuta fedha unaonaje wakishika nchi wala rushwa wakubwa kweli uwezi kuujua moyo wa mtu

    ReplyDelete
  11. ZZK hatasisi waha wenzako 2likuwa 2nakupenda,rakini unaonekana kuwa naroho mbaya na ubinafsi! huwezi ukawa namadiwani watatu (3) kwenye jimbolako, kama ww siyo msaliti ninini? ha2kutaki toka kwenye chama.

    ReplyDelete
  12. kila inapfikia uchaguzi utaona wazituna wa ccm wakianza kuchafua vyama pinzani yote hii nikuwapeleka wananchi sinttofahamu kwahiyo hata sisi wananchi tunatakiwa kutafakari kwa kina kama zitto sio wa ccmkumbe tuseme nini kwani hapa tu inaonyesha kabisa kuwa katumwa kwa wakati muafaka ili kuvuruga upizani jamani kama tunataka mabadiliko tujichuje tuone wapi pakupita. huyo zitto ametumwa kwahiyo kama ingekua sio hivyo na anatupenda wananchi angeyasema haya yote huko nyuma leo muda wake umeisha anataka kupeleka riport huko alikotumwa anaazisha timbiwili jamani tuwenu macho tubadilike na sisi wananchi sio lazima ccm kila siku hata majumbani tunabadilisha mlo

    ReplyDelete
  13. Mungu atatusaidi tu, mabadiliko lazima yaje, hawa watu walafi kama zito ni watu wabaya sana, huyu kachukua hela kutoka ccm, ndo anakuja fanya ufala huu, nilikuwa namheshimu sana huyu kijana, lakini hana faida yeyote kwenye taifa hili, ni mbinafsa, limbukeni, mnafiki, ndumilakuwili, na bwege.








    ReplyDelete
  14. hey am not a tanzanian but i have been following tanzanian politics since 2000.i have finished recently published a book concerning politics of tanzania and titled it monkeys with democracy.hope tanzanians read it and learn something its on google play in ebooks costs $50

    ReplyDelete
  15. Jamani tafakarini kauli za baadhi ya wana ccm "CHADEMA ITAKUFA KABLA YA 2014",Huu wawezakuwa mkakati maalum ambao njia imebidi kupitia kwa ZZK.
    Lakini haya yote ni mapito.

    ReplyDelete
  16. Zito oooyeee uko juu achana na mafisadi hao ww tunakujua toka mdogo ukipigania chadema huu ulikuwa wakati wa kutulia sasa wanaleta maneno yao achana nao chadema bila zito imekwisha mtalala dolo mmefulia

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwacheni zitto awabomoe vizuri wao si wanajifanya wana mdomo wa kusema ya wenzao. funguka kaka wabomoe mafisadi hao. tuko pamoja

      Delete
  17. zito nimwana ccm aliejificha nayupo karibu sana na prezidee huyu jamaa anavuluga chama asepe maana keshapewa fungu avuluge chama shenz toka

    ReplyDelete
  18. funguka zitto wao si wameanza wewe maliza. wanajifanya wasafi kumbe hakuna kitu alafu wanataka wapewa nchi. si wameamua kubomoa! bomoa na wewe tuko pamoja

    ReplyDelete
  19. mafisadi bwana, utayajua tu kwa hizo comments zao wanazotoa humu

    ReplyDelete
  20. mafisadi wala nchi, itakuja fika tu siku yenu, mtaumbuka na huyo zito wenu!

    ReplyDelete
  21. Nawashangaa saana nyie
    Msiofahamu, Chadema ni chama cha
    WACHAGA, ukitaka kugombea nafasi
    ya juu ukiwa kabila la KUSINI,
    nyanda za juu kusini, kanda ya magharibi, Kanda ya ZIWA,
    Kanda ya KATI, kanda ya mashariki,
    KAMA WEWE SI MCHAGA, MUARUSHA,
    M'manyara, jaribu kugombea nafasi
    ya juu kabisa UONE BALAA LAKE
    utajuta kuzaliwa.
    ndio haya yanayomkuta
    mpendwa ZITTO.
    sio siri chadema ukabila utawamaliza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad