SIRI:MIMI HUWA SIANGALII MWANAMKE MARA MBILI

Kitendo cha wanaume kukodolea sana wanawake hasa warembo ndo tatizo linalowaingiza wanaume wengi kwenye matatizo, leo nawapa siri yangu inayonifanya nisianguke kwenye tamaa za mara kwa mara, siangalii mwanamke mara mbili, hata akiwa mzuri namna gani, nikimuona mara ya kwanza sigeuzi tena shingo kwake. Unajua nini, ukigeuza tena utajikuta unaanza kutamani ana figure nzuri, mara macho yake noma na hata wale wapenda mizigo mikubwa utasema lile ---- noma, huo ndo mwanzo wa tamaa na matatizo.
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hujasema kitu bado.

    ReplyDelete
  2. mbona hufahamiki umeongea nini?

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe nini mbona wenzako tumefahamu acha roho mbaya hiyo.......

      Delete
  3. msimamo mzuri nitajaribu na mimi...............

    ReplyDelete
  4. Labda hudindishi ww.

    ReplyDelete
  5. Aisee kweli kabisa.

    ReplyDelete
  6. Labda mwenzao ndo maana

    ReplyDelete
  7. du hujakutana na watoto
    walio umbika wewe by salum ndan ya mbea

    ReplyDelete
  8. Ni kweli kwa kufanya hivyo huwezi kutamani mwanamke kabisaaa!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad