TUWENI MAKINI:NIMEKUTA NYOKA NDANI YA CHOO CHA KUKALIA
8
January 18, 2014
Jamani tuweni makini na hivyo vyaa vya kisasa vya kukalia kabla ya kukimbilia kukaa na kujisaidia jaribu kuchungulia ..mimi nimekutana na jinyoka kubwa sana aina ya Cobra ndani ya choo ona picha hapo juu..nisinge chungulia kabla basi matako yangu yangekuwa chakula cha nyoka....
Tags
Uwongo mtupu...
ReplyDeleteNachojifunza ni kuwa blogs nyingi za bongo hazijui kuandika habari za uhakika.wanatuga tu mambo ili kupata wasomaji wengi.hiyo story si kweli ni movie hiyo ume edt picha ukatunga story bac.
ReplyDeleteKwel kabisa anonymous7:55 ukiangalia simu alikua nayo mda huo naalipata wap ujasili wakupiga pics mda huo
ReplyDeletehiyo story inawezekana ni ya kweli...lakini haijatokea bongo manake naona hao watu kama wazungu. but mimi nilishawahi toa kenge kwenye mashimo ya choo...aliiingia kujizalia watoto wake, watoto ndio wakapanda mpaka kwenye choo...nikaona kamkia nidhani ni nyoka, tukatia mafuta ya taa then tukaenda kufungua sewage system...tukaua kenge na watoto wake...
ReplyDeletejamani inawezekana ni kweli 2weni makini wapendwa
ReplyDeleteKWA ISHU YA KENGE NI KWELI KABISA,ILA NYOKA TENA MKUBWA HIVYO MMMMHHHHHHHHHH.
ReplyDeleteStupid blog umetowa hii picture kwa actress tonto dike wa nigeria kwenye instagram yake. Fyuuuuu
ReplyDeleteThis comment has been removed by the author.
ReplyDelete