UKWELI KUHUSU PICHA YA DAVIDO NA MSICHANA ANAYESEMEKANI NI MBONGO WAKIWA KITANDANI.

Wiki hii yote kumekuepo na picha iliyosambaa mtandaoni ikimwonyesha msanii Davido akiwa kitandani na msichana anayesemekana ni mbongo. Ki ukweli mimi kama admin wa Bongoclan nimeiona katika Blog nyingi sana siwezi zikumbuka zote.

Baada ya kuiona picha hiyo nlijiuliza maswali mengi sana moja ni kujua kama kweli mdada huyo ni mbongo au watu wanazusha tu, hiki ndo kilichoandikwa katika moja ya blog zilizoandika story hiyo. "Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya ajulikane kwajina la davido tika nchini Nigeria anaetamba na kibao chake cha SKELEWU,hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa kuwa mwigizajiwa bongo wakiwa katika pozi la mahaba alivyokuja Bongo."

Katika uchunguzi uliofanya na Bongoclantz.com umebaini kua story hiyo ni feki, na wala mdada yule si mbongo kama watu walivyozusha.  Ukweli kuhusu story hiyo ni kua mdada huyo ni raia wa Nigeria na story hii ilikua ni ya mwaka jana mwezi wa tatu. Unaweza soma baadhi ya story hizo kwa kubonyeza link zifuatazo LINK1,LINK2, LINK3 kama utazisoma vizuri na kutazama tarehe za story hizo utagundua kua story zote hizo ni za mwaka jana mwezi wa tatu.

Davido alivyotafutwa hiyo mwaka jana baada ya picha hizo kusambaa mtandaoni alisema kua hamjui na wala hajawahi kumwona mwanamke huyo na anashindwa kuelewa ilikuaje hadi akaingia katika chumba chake na jinsi picha hiyo ilivyosambaa. 

Skendo hii ya kusambaa kwa picha za Davido akiwa na mwanamke kitandani na picha kusambaa mtandaoni si ya mara ya kwanza kwani kuna mdada mwingine alishapiga picha na kuzisambaza mtandaoni. Picha hizo zilimwonyesha mdada huyo akiwa na Davido kitandani

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Nyoooo sinta Hapo chacha dandia na hill hahhahahha unajitia kujua kimbe nawe unakopi name kupest....utashaaaaaa

    ReplyDelete
  2. Umewakomesha wa kukop na kupect

    ReplyDelete
  3. Wabongo umbea umewazidi, watu wajaza mapovu kutaka kujua nani alikazwa na Davido.jitihada hizi za uchunguzi zingeelekezwa kwenye miradi ya gesi, nadhani tungejua kumbe gasi asilia ipo Kimara.

    ReplyDelete
  4. Acha kuandika stor za kupotezea muda xaxa kama wapo kitandan xi ina2husu nn, na je wewe uliingia ndani kuwapiga picha ndo nawe umekopy

    ReplyDelete
  5. kumamamaaako admin

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad