Wakati mapenzi yanaanza kuchanua kati ya Rapcellency Prezzo na mrembo wa kichaga kutoka Tanzania Starlisha Tillya a.k.a Chagga Barbie mwaka jana, wengi tulidhani huenda zile
ndramadrama zilizojitokeza kwa wapenzi wa rapper huyo waliopita zingepungua au kuisha kabisa, lakini tayari kuna bomu limeshalipuka.
Huwa wanasema penzi ni kikohozi sababu kulificha huwezi ndio maana tulishuhudia jinsi mapenzi yalivyokuwa moto moto, na kama ni hivyo pia penzi ni kama chafya yakiharibika si rahisi kuficha cheche za kutoka ndani.
Kupitia Instagram mpenzi wa Prezzo Chagga Barbie leo amevujisha moshi unaofuka ndani ya uhusiano wa wawili hao, kwa kupost ‘private message’ walizokuwa wakichat kabla ya mambo kuharibika.
Alipost picha hii na kuandika, ‘Y nime post baadhi ya chat ni kwasababu umeanza kwa kushare kwa dada zako sasa ntarusha voice note watu wakusikie live ulivyokuwa stupid mwanaume tumamu ha act Kama K*ma kaa wewe, eti hapa ulikuwaukijibabishaaaaa lol unajua hapa nilipokuangalia ndipo nilianza kustuka nikasema huyu babu mwenye rangi za blonde kaa mie nafanya nae nini?’ Ameandika Chagga Barbie muda mfupi uliopita.
Moja ya message hizo inaonesha kuwa Prezzo na mpenzi wake walikuwa wakimjadili Diamond Platnumz ambaye mwaka jana waliwahi kuwa na beef ambayo baadaye iliyeyuka.
Katika post hii Chagga Barbie aliandika:
‘Unatengeneza ma video yasiyonakiwango Kutwa kumponda Diamond Mara ngapi nimemtetea huyu kinara wa East Africa usie mkubali wewe unamuita mwenzio sijui Mwajuma wewe na yeye Nani Mwajuma kaa sio wewe Natafuta namna yakuweka ur voice notes watu wakusikilize kibuyu wewe @anithakajumbula ndio kaniomba nijifanye mjinga ni cool off nikuambie yaishe kuma wewe unaevaaa boxer’
Makombora yaliendelea kutoka kwa mtoto huyo wa Kichaga anayeonekana kuwa na mkwanja wa kutosha.
‘Wewe Serengeti Boy uki beg nikwambie nakupenda ilikuwaje?????’
Katika post nyingine Starlisha ameandika:
‘chaggabarbie Sasa ukibembeleza ni kuwish Happy Bday japo nikupost ilikuwaje? Sasa nitaweka msg zote mpaka ukibembeleza nikununulie hadi Giusseppe Sneakers Ukiomba Nikupe Ticket Mat*ko wewe, mwanaume gani wewe Mario wewe ulifikiri mie nahonga mburula kaaa wewe? Nimezoea kutunzwaaaaa…….siilikuwa Ukiomba nikufichie Siri Kibamia wewe……… ‘
‘chaggabarbie Sasa ukibembeleza ni kuwish Happy Bday japo nikupost ilikuwaje? Sasa nitaweka msg zote mpaka ukibembeleza nikununulie hadi Giusseppe Sneakers Ukiomba Nikupe Ticket Mat*ko wewe, mwanaume gani wewe Mario wewe ulifikiri mie nahonga mburula kaaa wewe? Nimezoea kutunzwaaaaa…….siilikuwa Ukiomba nikufichie Siri Kibamia wewe……… ‘
Upande wa Prezzo kupitia akaunti yake ya Instagram ameandika:
1st they love me then they hate me then they love they love me again…. #MswatiSpeaksHisMindVolumeTwo #TrulyUnruly #Rapcellency.
Mashambulizi kutoka kwa kambi ya Prezzo hayakuishia hapo. Dada yake na Prezzo aitwaye Kay Kivile akamlipua Chagga Barbie kwa picha hii:
Kay Kivila ameandika: Mtu anaweza akawa haongei lakin ndugu zake hawawezi kukubali………… nimeshakatazwa lakin leo sina moyo wa subira ingawa juzi niliuliza kama watu mnasamehe……. Hapo enzi ni baby yake prezzo katoka kufanyiwa operation ya kutoa tumbo, ulizeni hizo hela za shughuli alitoa nan sasa,,, anaeitwa SERENGET BOY ndo alizitoa.
Source:Bongo5
Source:Bongo5
Ooooh haki yamungu sasa si myamalize bila kutukanana
ReplyDeleteChagga Barbie hajui kupika lol
DeleteItika,starlisha,Nyie kiboko na Aisha senkoro
ReplyDeleteMdau leta michape ya Itika,Starlisha na Aisha Senkoro
DeleteAibu! Why watu wazima mnayaanika mapenzi adharani namna ile?? Mmeona matokeo yake sasa..aibu!
ReplyDeleteYaani upuuzi mtupu mambo yakumwagana ni kawaida kwa binadamu sasa hizi mambo za kuanikana kudhalilishana buree na kujishushia heshima kwa jamii
Deletemmmmh ngoja niagize popcorn
ReplyDeleteDuuuh ukiona mtu anaongea sana ni kaachwa na ye bado anapenda kubali matokeo ucshindane wewe unajikosha
ReplyDeleteHuyo kaykkivkila naye malaya gtu kaz kujiuza na kukiba swame za wagtu na
ReplyDeleteHuyo p n bswana akee
aaaaah aaaah iyo kal wapi diva
ReplyDeleteYani huyu malaya wa kiume Prezoo alikiingia choo kibaya sn cha marehem Goldie..,bac tu M'Mungu alimchukua mapema kabla ile move haijamwendea ovyo huyu anaejifanya lover boy!thanx kwa family ya Goldie kwa kumtimua alihic anacheza na kichwa cha Gildie km alivyozoea kuchezea wanawake wengine kumbe Goldie ndo alikua anamset pumbavu zake atuachie dada etu Kumbe mtu mwenyewe MARIO.. hahahaaaaa.....
ReplyDeleteNimevunjika mbavu alivyosema asitake nitoe Siri zake za kibamia Kumbe mambo flani ni hivyo du basi Sita kwa Sita ni nothing.ss huyo prezoo anavyobadilisha mademu anajichoraje? Wacha nicheke mie kibamia uwiii mbavu zangu Wajameni.
ReplyDeleteKibamia ndio nini??????
DeleteHalafu mange mbona unapenda kumfatafata stalisha si mligombana sasa mbona unamweka kwenye kiblog chako we mama mbona mgomvi ungekuwa ww sintah akuweke au stalisha akuweke nahis ungetukana mpaka uzae pre machure
ReplyDeleteUmemwona mange tu mbona blog nyingi wameweka husemi,na hii ya udaku je mbona wamemweka,au kwa kuwa mange anakunyima usingizi ndo waweweseka kumtaja nyooo
DeleteHuyo naye Mange keshakuwa Mange. Hivi huwezi fanya yako bila kutaja jina la mtoto wa watu?? Mchawi mkubwa weeeee........
DeleteNyie nanyi ni haters Mange wa watu ni blogger ko hawezi kuficha habari kisa waligombana,hiyo habari ndo stori ya mjini sa mama kijacho itamkosaje..Mange kama blogger anauwezo wa kurusha habari yoyote ile huyo chagga bibi ye ndo nani kwani...EMBU MTUPISHE NYIE NDO WAMBEA
Deletenilicoment humu kwamba Hawa watu
ReplyDeleteyakidumu mapenzi yao nahamia somalia. ona sasa yako wapi naona diva huko aliko kafurahije hapana chezea kijana. marioo
evry thnh hvng expire date
ReplyDeleteKivila mbona ya kulala na babako mzaz huusem kilaza we
ReplyDeleteHafai kwa umalaya mwanza kwanza katoa kuma ovyo ukimwi umejaa kuman
DeleteChagga Barbie, Chagga Barbie..... .Sasa kiko wapi??????.....Plastic surgery tupu imekujaaa mwili mzima mpaka matakoni.......yafanyie na hayo mashavu basi......Nyooooooo ndo ukomeeee......
ReplyDeletepeoples private lifes should remain private why all this...tujifunze kwa rais wa france lol
ReplyDeleteDuu,kivila kalala na diwani? Acheni utani nyie watu aisée, Mwanza Mwanza nahene.
ReplyDeleteHv hapo kulkua na mapenz gan?? Wote n mbuz 2 wale
ReplyDeletesanasana huyo chagga birbie anahitaji kutombwa kumani na kufirwa ndo ataacha huu upuuzi wa kuanika private messages
ReplyDelete