Niliyona hii Habari muda tu, hao wote ni wazazi wake wa huyo mtoto, baada ya madaktari kufanya uchunguzi, huyo ni baba yake na mama yake, wakazani labda albino, baada ya uchunguzi kumbe wala sio albino, kwa hiyo wakasema ni raisi kwa mtu mweusi kama mwafrica kuzaaa watoto weupe, kwa kuwa watu weusi ni geneticmutation, wanabadilika,
Ningekubali tu kitanda hakizai haramu
ReplyDeleteWeka details vizuri inaezekana kapandikizwa mbegu hospitali wote wakifahamu hilo, majuu hamnazo inawezekana pia walitaka mtoto mweupe wakakubaliana hvyo.
ReplyDeleteWeka details vizuri inaezekana kapandikizwa mbegu hospitali wote wakifahamu hilo, majuu hamnazo inawezekana pia walitaka mtoto mweupe wakakubaliana hvyo.
ReplyDeletepagumu hapo!!!!
ReplyDeleteMBONA MDOLI HUYO
ReplyDeleteNiliyona hii Habari muda tu, hao wote ni wazazi wake wa huyo mtoto, baada ya madaktari kufanya uchunguzi, huyo ni baba yake na mama yake, wakazani labda albino, baada ya uchunguzi kumbe wala sio albino, kwa hiyo wakasema ni raisi kwa mtu mweusi kama mwafrica kuzaaa watoto weupe, kwa kuwa watu weusi ni geneticmutation, wanabadilika,
ReplyDeletejamani huyu si ni zeruzeru ama?
ReplyDeletewacheni upumbavu hilo sanamu tu si mtoto wala nini!
ReplyDeleteKweli kaka hko Ni sanamu acheni ushenz
ReplyDeleteaaaahh wapi sawa mzungu bt nyweli haziji hivyo hata wangu ni mzungu bt si blondi hivyo hilo ni doly
ReplyDeletekwanza,tungefuata kizazi changu na cha mke wangu kinatokea wapi.pengine katika uko wa mmoja wetu kuna asili ya kizungu.
ReplyDeletehuyo siyo mtoto ni doli
ReplyDeleteMimi ningefurah xana kwa mbegu mpya. ningempeleka shoppng china.
ReplyDelete