USHAURI KUTOKA KWA KING ZILLA KWENDA KWA WAPENZI AMA WANANDOA

USHAURI kutoka kwa King Zilla wa Salasala

Unapogombana au anapokukosea girlfriend wako au boyfriend (mpenzi,mwenza) ,usimshtakie kwa wazazi wako sababu baadae mnaweza mkasamehana kwa misamaha ila wazazi wako hawawezi kumsamehe.

Jifunze kutatua matatizo we mwenyewe.
Tags

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Umeongea kama mtanashati tumezowea blog za bongo sifa tu za wasanii,huyu hivi yule vile tupate wengine kama ww kumi basi bongo itawekwa kwenye GDP.

    ReplyDelete
  2. Dat wassap ma neggro!...!*

    ReplyDelete
  3. kaka kweli nimekubaliana na wewe hata mimi iliwahi kunitokea ilikuwa ngumu sana msamaha kutoka kwa wazazi wangu walikataa tusirudiane mpaka akaomba msamaha tena ndio wakakubali

    ReplyDelete
  4. Pia wanawake wanao tiwa na waume zao,na kuto a hbari kwa mashoga zao pia nao wanahatarisha ndoa zao ,kwa wanawake wengi ,kufuata waume zao na kuwa taka mambo ya chumbani unatoaje nnje,haya yalitokea wakati wanachota maji,na mmoja akanza kueleza wenzake,pia wanawake wengi hawajui sayansi,wanatakiwa waelewe mwili unavyo fanya kazi wa mwanaume,pia wawatie moyo waume zao sio ,kulalamika kila wakati.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad