Miaka ya 90 kurudi nyuma ilikuwa nadra sana kukuta mwanamke ana kitambi. Ukimkuta mwanamke anatumbo kubwa wakati huo, lazima atakuwa ana mimba. Hali sasa inatisha. Wanawake wengi wana vitambi kiasi kwamba ni vigumu kutofautisha wenye mimba na wasio kuwa na mimba. Wengi ninao kutana nao barabarani, sehemu za umma, ninaokutana nao maofisini na sehemu mbali mbali nimegundua kuwa kati ya wanawake 10, 7 hadi 8 wana vitambi au matumbo makubwa. Wengine vitambi vyao ni vikubwa na vingine vinakuwa vimevimbiana pembeni yaani upande wa kushoto na kulia ubavuni hivyo kuwa na umbo kama la matumbo ya vyura. La ajabu ni kuwa wanaume wengi sasa hivi hawana vitambi isipokuwa walafi wachache. Kwakuwa zamani tulizoea kuwa vitambi ni kwa wanaume sasa hali imebadilika imekuwa ni wanawake. Nini kimewakuta? Maana wengine ni wasichana wadogo wa shule tayari wanavitambi wakati mwingine utakuta mama ameongozana na binti yake wote wanavitambi. Je kuna namana yoyote ya kuwaokoa? Tuwasaidie maana nadhani hali hiyo itakuwa na athari kiafya kwao mbali ya kuharibu maumbile yao(kupoteza shepu)
Siku utasikia Kila Mwanamke hapa mjini anataka kwenda Gim...
mtuacheeee
ReplyDeleteKwel umbeya tu. Hao wanaume wenye vitambi hajawaona. Japo wapo wanawake siku hizi wana mijitumbo hiyoooo! Inatokana na kulakula ovyo mavyakula yenye mafuta mengi kama chips,kuku nyama....
ReplyDeleteNi kweli kabisa wanajiachiya sana
ReplyDeleteMademu wengi walafi wa chipsi kuku na mabia wanafikiri wanachuna mabuzi kumbe wanajaza choo tumboni, yaani ni vitambi kwa kwenda mbele, kuleni matunda na mboga muende choo, yaani wengine kama chura wenye mimba.
ReplyDeleteHakuna mlaf mnaona wiv coz nyie mnazid kukonda tunanenepa kwa raha ze2 mtuache tulale
ReplyDeletekama unanenepa si unenepe kote,mbonz unanenepa tumbo tu? Na miguu imekondeana kama fito
Deletepliz some its coz of childbirth, u dnt xpect awoman to be the same after 3-5 children shame on u DICK HEADS
ReplyDeleteThank you for defending us...
DeleteUbarikiwe sana
DeleteKifup unapoambia ukweli angalia je ni maumbile ya kifamilia au n ww tu......kitambi kutoka ni kaz rahic sana....unaweza ukala chips kuku na usipate kitambi ikiwa unafanya vimazoez vidogo hata vya kitandan ukiwa unajivuta kugusa magoti hata mara 100 kwa siku yaan unalala wima alafu unajivuta kuyagusa magot ni kitendo cha dk 20 tu achen uvivu
DeleteHAYAWAHUSU, N LIFE STYLE YA MTU.
ReplyDeletekumanina zenu umbea 2 mbolo zenu ndo 2livyoumbwa na mungu kuongelea sana ma2mbo ya wa2 ni kumkosoa mungu wasenge debwe mboo kbs nyie pumbu nn m2kome wanaume wazima mkalia umbea kumanyoko zenu ndo 2livyoubwa tena tunajikubali
ReplyDeletenaona ukweli umekuuma sana mdau,teh teh teh te
Deleteacheni ulaku mafala nyie, mnakula mno mavitu ya mafuta na mabia ya kuhongwa mazoezi hamfanyi, hata ngo haziwapendezi tena kama zamani,
ReplyDeleteUnakitambi bado unaitaja k ambayo unayomwenyew sa uwekwe kundi gan...maana matusi yako ni sawa na kuvua nguo sokon et unampa laana muuza nyanya kw kukudhulumu hamsini!!!km kitambi unacho piga mazoez sio unatukana ovyo
ReplyDeletewanapoteza mpaka mvuto halafu wanaangaika kutafuta wanaume
ReplyDeleteKITAMBI NOMA, UKIWA FARAGA, MWANAUME APEKUE KAMA VILE KAPOTEZA HADI KUKUFIKIA! SHEPU MUHIMU
ReplyDelete