Akiongea na kituo cha CHANNEL TEN leo jumapili tarehe 19/01/2014,mwandishi wa habari wa gazeti la Mwananchi ndugu Meena amelaani uteuzi wa Jumaa Nkamia kuongoza wizara inayosimamia vyombo vya habari,nanukuu,"Nkamia nimesoma naye,lakini kauli zake za hivi karibuni bungeni vinaonesha kuwa hapendi uhuru wa vyombo vya habari,kwa aliyofanya waziri aliyepita na kwa uteuzi wa Nkamia tutegemee kuminywa kabisa kwa vyombo vya habari".
Nilitegemea kuteuliwa kwa mtangazaji mkongwe Nkamia kungewafurahisha waandishi wa habari,lakini inaonekana sivyo.Je, ni kweli Nkamia hafai kuongoza wizara ya habari,au ni chuki binafsi za Meena kwa Nkamia.Nini mapungufu ya Nkamia mpaka akachukiwa kiasi hicho na Meena? Kama si Nkamia,nani anafaa kuongoza wizara husika?.
Source:Jamii Forums
Izo ni chuki binafsi
ReplyDeleteCHUKI BINAFSI,,ILA ATUKUMBUKE WATU WA GONGOLAMBOTO MWISHO WA LAMIIIII,YEYE ANAJUA
ReplyDeleteHuo ndio ukweli amewekwa kwa makusudi ya kuua vyombo vya habari,tumemsikia mara nyingj bungeni akiwa anapinga jambo hilo,cyo yeye tu hata Migiro ameteuliwa kusimamia sera za chama ili kuikwamiza katiba hasa kipengele cha serikali 3,huko wizara ya fedha ndio usiseme mazingira ya kuchota pesa ya uchaguzi yanaandaliwa,tulio na fikra pevu tulishaliona hilo.
DeleteChuki binafsi hizo by makamaka kwetu
ReplyDeleteBaada ya kuona jina la Nkamia na Nchemba nikawa njiuliza sifa za kuwa waziri ni zipi? Matusi ukiwa bungeni au ni zipi?
ReplyDeleteNafikili matusi yanahusika kwa kiwango kikubwa: Nchemba, Nkamia, Taisoni.
DeleteKingine - inabidi uonyeshe kuichukia Chadema kama mavi na watu wote wanaotetea watanzania.
Ukitimiza haya uwaziri haukawii
Hana sifa
ReplyDeleteElimu ya kutosha pia ni mbunge na ndio sifa pekee za kuwa waziri!
ReplyDeleteUnataka ateuliwe mama yako?
ReplyDelete