WASTARA: NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA

Stori:  Na Imelda Mtema
IKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti la kwanza la muoaji lazima awe mtu mwenye fedha zake.

Akizungumza na Risasi Mchanganyiko, wikiendi iliyopita jijini Dar es Salaam, Wastara alisema, amekuwa mpweke kwa muda mrefu na sasa ni wakati muafaka wa kumpata mtu wa kuziba pengo la marehemu mume wake

“Inatosha sasa, nadhani muda wa kuwa na mwenzangu umefika. Napenda huyo mwanaume awe mwenye huruma, upendo na kutambua thamani ya mke lakini ni vizuri akiwa mwenye kujituma na awe na fedha nyingi.

“Natamani kuolewa na bilionea. Najua nikiwa na mwanaume wa aina hiyo sitateseka, nitapata kila ninachokitaka. Unajua mimi kama mwanamke nina mambo mengi. Siyo siri natamani itokee siku moja niendeshe Hummer au Prado (aina za magari) kulingana na hadhi yangu.

“Kiukweli nitafurahi sana nikimpata mwanaume wa aina hiyo, maana nitakuwa na uhakika wa kufanya mambo mengi ikiwa ni pamoja na kunisaidia katika shughuli zangu za sanaa,” alisema Wastara.
Source:Global Publishers

Post a Comment

38 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hadhi yako? Mweeee
    ulichokuwa nacho ndiyo chako na ndipo ilipo hadhi yako.
    acha tamaa watakuharibu labda kama yupi huyo mtu.

    ReplyDelete
  2. yaani mwaka mmoja umeona umetosha! omba mungi akupe mume mwema! sio tajiri hujui kaupataje! tamaa mbaya.

    ReplyDelete
  3. Kwa uzuri gani ulionao hd mwenye pesa zake akutake? Acha ufala ww utaozea kwenu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Bilionea hawaoi wazuri wanaoa watu wenye pesa wenzao au carrier

      Delete
  4. Wanawake bwana ndo maana now days ngono nikitu cha kawaida coz mnajilaisisha wenyewe to get money ili uwe kama rihanna alafu uwezo una sasa ndo we wastara sema natafuta wakunionga tu utapata madon wamjn wako weng but mume lol upati kwastail hii alafu ww sio mzur kuna watoto wakali jieshimu alafu ridhika utachezewa na prado lakukodishwa later unanyang'anywa lolest mjin bana

    ReplyDelete
  5. uzur ww ni mzur ila umebugi kaul yakuolewa na m2 mwenye pesa nyingi hizo ni dalili za tamaa mwombe mungu akuchagulie mume mwema bac,hilo ombi lako hapo unamwomba shetan pesa nzur ya kutafuta wenyewe usipende mteremko utakuponza

    ReplyDelete
  6. Wanawake bwana ndo maana now days ngono nikitu cha kawaida coz mnajilaisisha wenyewe to get money ili uwe kama rihanna alafu uwezo una sasa ndo we wastara sema natafuta wakunionga tu utapata madon wamjn wako weng but mume lol upati kwastail hii alafu ww sio mzur kuna watoto wakali jieshimu alafu ridhika utachezewa na prado lakukodishwa later unanyang'anywa lolest mjin bana

    ReplyDelete
  7. Tupo. Unaweza beba sembe wewe? Namaanisha Puuuuundaaaaaaaa!

    ReplyDelete
  8. Wee jishauwe tu na tamaa zako fanya Kazi ununue ilo prado Kama unafikiri rahisi unafikiria ukiolewa na mtu mwenye pesa ndio utakuwa Una raha acha utoto kalabagaho

    ReplyDelete
  9. Mmh wastara sikupendi tena. Usoomba Mwenyezi Mungu akuletee mume wa kheri atakaye kuongoza akupende awe na imani nawe. Leo wataka billionaire je hiyo mali kama kaipata kwa kutowa watu kafara. Au jambazi sugu ndio kapata hiyo mali. Au mafia mkubwa wa muuza sembe au pimp. Fikiria makini kwa kitu uombacho kwa Mwenyezi Mungu

    ReplyDelete
  10. mpaka ww unataka prado

    ReplyDelete
  11. we kumbe fala tu mbona unatiwa na watu kibao hawakuhongi!?

    ReplyDelete
  12. Kakumbuka dud 2 huyo malaya

    ReplyDelete
  13. Unaposema hadh yako ilibd uwe na hz pesa. Badala ya kufanya kazi upate unachokitaka we unaona kuolewa na mtu mwenye pesa ndo suluhsho utaishia kuwa punda kwa tamaa za kipumbavu!

    ReplyDelete
  14. Hahahaha! Mwanamke mbovu wa akili huyoo. Kwani hiyo hadhi yako unayoongelea ni ipi Sasa?! Pili kwani marehemu Sajuki alikuwaga billionaire?! Kwakuwa Sajuki hakuwa billionaire na wewe unapenda mabilionea basi hukuwa ukimpenda hata huyo mumeo. Fanya kazi acha upuuzi. Ulisikia wapi hao matajiri wanataka kuoa mizigo. Ukishafanya kazi ukawa tajiri ndipo utampata tajiri. Leo umetudhihirishia akili zako finyu.

    ReplyDelete
  15. mimi nina bajaji nanina kupenda jee utanikubali nizibe mwanya au sikufahi nijibu sasa hv

    ReplyDelete
  16. Acha tamaa mwanamke, unaweza kumpata mwanaume mwenye Pesa nyingi sana lakini huyo mwanaume akawa ANAKUFIRA kila siku maisha hayaendi hivyo dada Pesa sio kila kitu hapa Duniani Ooooohoooo.....!!!!!!

    ReplyDelete
  17. mapenz sio pesa tafuta mtu mwenye mapenz yakwel by salum

    ReplyDelete
  18. njoo kwangu lakini ukubaliane na masharti yangu

    ReplyDelete
  19. kama unatamka bilionea, njoo tuongee.

    ReplyDelete
  20. nilikua nakuona wa maana kumbe mburula, wasanii bwana chunga tamaa mbaya

    ReplyDelete
  21. Huna ht haya mwaka tu tayari unataka kutiwa,subiri wasanii wenzio wakutombe mpk akili ikae sawa

    ReplyDelete
  22. Wenye pesa wanaenda Wenye pesa wenzao, usipo Angalia na utu uzima wako huo Wanamme watakucheaa saana, kama ndo shida yako pesa

    ReplyDelete
  23. very stupidy badala uombe mume bora utakae ishi nae kwa shida na raha we unataka mteremko

    ReplyDelete
  24. Wastara me binafsi nimechoka na habari zako.

    ReplyDelete
  25. Nilikuaona wa maana kumbe mburula tu fucking cripple malaya

    ReplyDelete
  26. Nina hela za urisi nitakuoa lakini mimi napenda kula tigo kama upo tayari nistue

    ReplyDelete
  27. Tulia mama cha muhimu umeshapata watoto wako mengine ni ziada,be care.

    ReplyDelete
  28. Nilikupenda sana kwa umaulufu uliopata wakati mumeo anamatatizo ulikuwa mwanamke shujaa kwa mambo yako na magazeti sikupendi we limama eti namtaka bilionea ndio maana unazaa watoto kila mtoto na baba yake kwa tamaa zako tulia matajili wapo labra unamvuto mwanamke mvuto tena sijui unamfundisha nini huyo binti yako apoulipo unamtoto mkubwa bado unaongea utumbo mwanao nae atataka bilionea kwashepu gani ya kutisha ww zee mshkru mrhm sajuki aliweza kubeba mzigo wa mitoto yote mwanaume unayemtaka atakulala we na watoto wako eti mwaka tu unakupa shida watu wanakaa mwika ungempenda mumeo wala usingejinaji wakekuja wenyewe haya sajuki mkeo huku anajiuza kwenye magazeti manamke kujieshimu wastar lakini ww una wastar unawaza mbo goja zije zilizopitiliza mtangulize mungu kwanza kemea pepo lilokukumba .

    ReplyDelete
  29. Nilikupenda saaana ila kwa hili umeniangusha

    ReplyDelete
  30. Kwa hiyo marehemu mume wake hakuwa hadhi yake mbona hakumnunulia hilo prado,

    ReplyDelete
  31. kwa hiyo marehemu mume wake hakuwa hadhi yake mbona hakumnunulia prado na hammer?

    ReplyDelete
  32. mavi yako tajiri gani akutake wewe kwa kipi kikubwa ulionacho ovioooo!

    ReplyDelete
  33. The lost wastara. Ney hukukosea makahaba wenye viwango wapo.............. mwanamke una ugwadu wewe mwaka mmoja tu chin kumeanza kuwasha. kama ww ni billionea bac utampata billionea mwenzako .

    ReplyDelete
  34. The lost wastara. Ney hukukosea makahaba wenye viwango wapo.............. mwanamke una ugwadu wewe mwaka mmoja tu chin kumeanza kuwasha. kama ww ni billionea bac utampata billionea mwenzako .

    ReplyDelete
  35. The lost wastara. Ney hukukosea makahaba wenye viwango wapo.............. mwanamke una ugwadu wewe mwaka mmoja tu chin kumeanza kuwasha. kama ww ni billionea bac utampata billionea mwenzako .

    ReplyDelete
  36. The lost wastara. Ney hukukosea makahaba wenye viwango wapo.............. mwanamke una ugwadu wewe mwaka mmoja tu chin kumeanza kuwasha. kama ww ni billionea bac utampata billionea mwenzako .

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad