WAZIRI NYALANDU AANZA NA MKWARA MZITO


WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, ameweka wazi kwamba atamshughulikia mtu yeyote atakayebainika kujihusisha na biashara haramu ya ujangili, hata kama ni kigogo na kwamba haogopi mtu.

Nyalandu ambaye kabla ya kuteuliwa kushika wadhifa huo, alikuwa Naibu Waziri wa wizara hiyo chini ya Balozi Khamis Kagasheki, aliyasema hayo jana mara baada ya kupokelewa kwa shangwe na watumishi wa makao Makuu ya wizara hiyo yaliyopo jijini Dar es Salaam.

My take: Huyu jamaa apewe tu ushirikino tuone impact yake
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mikwara tu hiyo. Majangili wakubwa ni haohao viongozi wanaosafirisha twiga kwa ndege. Msituzingue

    ReplyDelete
  2. Huyo jamaa ni kidudu mtu coz kila wizara anayowekwa inadondokea pua na waziri anatimuliwa hadi kaupata uwaziri kamili. Sasa hivi sijui atamng'olesha nani??

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad