WAZIRI WA FEDHA AMJIBU PROFESA LIPUMBA KUHUSU ELIMU YAKE

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amelishushia tuhuma nzito Baraza la Mawaziri, baada ya kudai baadhi ya mawaziri walioteuliwa hawana elimu ya kutosha
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Profesa Lipumba alisema mmoja wa mawaziri hao ni Waziri wa Fedha, Saada Mkuya.

Alisema chama chake, kina wasiwasi na elimu ya Waziri Mkuya, kutokana na wasifu wake kutoonyesha vyuo alivyosoma wakati wa kupata shahada ya kwanza na ya pili katika masuala ya biashara.

Alisema katika tovuti ya Bunge, wasifu wa waziri huyo umeonyesha sehemu aliyosoma elimu ya sekondari na kuhitimu kidato cha sita.

Alisema katika tovuti hiyo, haionyeshi chuo alichosoma shahada ya kwanza ya biashara, ingawa inaonyesha masomo aliyochukua jambo ambalo linatia mashaka uhalali wake kuongoza wizara hiyo nyeti.

“Ukiingia kwenye tovuti ya Bunge, utaona wasifu wake kuanzia elimu ya msingi hadi kidato cha sita na shule alizosoma, lakini kuanzia elimu ya shahada imeonyesha masomo aliyochukua na kupata shahada ya kwanza ya biashara, haionyeshi vyuo, jambo ambalo linatia mashaka,” alisema Lipumba.


Alisema nafasi aliyopewa inahitaji kiongozi mwenye upeo wa hali ya juu, kuweza kupambanua mambo yanayohusu uchumi wa nchi kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za kifedha za ndani na nje ya nchi.

“Napata wasiwasi kama Rais Jakaya Kikwete, aliangalia wasifu wa waziri wake kwa sababu asingeweza kumchagua kushika nafasi kubwa kama hii, wakati vyeti vyake vina mashaka,” aliongeza.

Alisema kitendo cha kumuweka mtu mwenye vyeti vya mashaka, kunaweza kusababisha nchi kuyumba kiuchumi, kuongezeka kwa deni la taifa, kwa sababu uamuzi wake unatokana na ufahamu wake.


WAZIRI AJIBU

Akizungumza na MTANZANIA Jumatatu kuhusu madai hayo, Waziri Mkuya alisema elimu yake wala haina mashaka, kwani alisoma kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari Lumumba mjini Zanzibar.

Baada ya hapo, alijiunga na masomo ya diploma ya Biashara katika Chuo cha Stamford cha Malaysia, ambapo pia alichukua diploma nyingine ya biashara nchini Uingereza.

Alisema mbali na masomo hayo, pia amesoma shahada ya pili ya biashara katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) na kuhitimu mwaka 2009.
“Nimehitimu Shahada ya Uzamili ya Utawala na Biashara (MBA) ya Chuo Kikuu cha WATT kilichopo Edinburgh, Scotland.

“Kwa sasa nachukua Shahada ya Uzamivu (PhD) ya Utawala wa Biashara Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, tawi la Dar es Salaam,” alisema Mkuya.
Tags

Post a Comment

37 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Xo xo xo xooo! Nchi imekwisha hata work experience hana! Duh! Balaa. Na mbona anapenda kuweka wanawake kwe.ye hiyo nafasi? Ili akitaka kuchota asipate kipingamizi?!!

    ReplyDelete
  2. jaman hii ni hatari kutoka diploma had masters

    ReplyDelete
  3. Mmmh!hamna kitu mwenyewe anajichanganya hata kwenye mazungumzo yake,hapo hamna kitu tumeuziwa mbuzi kwe.ye gunia,hana uzoefu hata wa miezi 6.hii ndio tz

    ReplyDelete
  4. kwa hakika lipumba yupo sahihi aliposhuku elimu ya huyu mwana mama

    ReplyDelete
  5. Diploma to Masters!!!! Sijaona duniani!
    Chuo gn kilichompa admission ya master kwa kutumia cheti cha diploma? Very interesting.

    ReplyDelete
  6. Yaani raisi kikwete amechemsha kabisa huyu mama alikuwa meneja wa M Bank kisutu dar, hana uzoefu wa kuendelesha wizara nyeti kama hiyo, na elimu yake ya ku unga unga,mbona kuna wasomi na watu wenye experince zaidi yake, hamfikii ata governer ndulu kwa experience ya kazi na kwa elimu yake ata kupewa udirector wa bank bado ni mashaka, kazi kweli kweli.

    ReplyDelete
  7. tayari hii ni shida ameungaunga hadi kuwa waziri wa fedha uwiiiii , hakuna chochote mzee kachemka

    ReplyDelete
  8. mbona mbowe alitaka urais na form 6 yake hamkema??

    ReplyDelete
  9. Huyu Bidada nae mchafu, Hijabu Kijani mheshiwa mzima?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Ulitaka rangi gani mdau?

      Delete
    2. anataka avae msalaba

      Delete
    3. MLETEE KILEMBA CHA MOTHER SUPERIOR AVAE

      Delete
  10. Hapo inabidi tumung'oe nae tena huyu mama hatufai kuongoza wzr ya fedha kwa nch ya wat mill 49 hv mbona wapo watu wana mauzof full huyu mama namshaka hata mie,kwanza mtu anaesoma open mfikrie kwanza elim ake ipo tenge

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nyie wasenge ulizeni qualification gani zinahitajika ili uwe waziri, acheni kuropoka. wangapi wenye PHD na wameshindwa kazi, nyie maku-a.

      Delete
  11. HUYO MWANAMKE HAFAI, HANA LOLOTE, ANAFAA KUONGOZA LABDA TAASISI YA WANAWAKE KWA AJILI YA UJASIRIA MALI MDOGO MDOGO. NCHI HII INAONGOZWA KISANII. HUYU MAMA ATATULETEA JANGA LA KIUCHUMI, MTAKUJA NIAMBIA

    ReplyDelete
  12. WE NCHI INA DENI LA TRILION 27 YEYE ANASEMA HAMNA SHIDA, ETI TUTAENDELEA KUKOPA! HUYU NI JANGA LA UCHUMI

    ReplyDelete
  13. WTZ m2 akijichaguli dem mnachachamaa kwanini? pumbafu zenu

    ReplyDelete
  14. jaman hiyo experience ataipata wap kama hajapewa nafas??? Nyie wenyewe mkitoka chuo mnalalamika, ooo! Experienc tutaipata wap ndo tumetoka chuo. Mwenzen kapata bahat wiv wann mpen nafas afaoye kaz. Kama asipofanya vzr atatolewa.

    ReplyDelete
  15. Siludi n'go, nitabaki huku rwanda mpaka mlipe hilo deni Nasikia kila mtz anatakiwa kulipa asilimia kadha ya deni tunalo daiwa,na huyo mama anasema ataendekea kukopa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. TENA USIRUDI MAANA HATUKUTAKI, NYIE WANYARWANDA WAUWAJI WA KIMBARI

      Delete
    2. We ni kuma wauaji wa kimbar na mama ako na baba ako wakiwemo?!kibamia mchambia kokoto ww

      Delete
  16. Twende tu tutamuona mwisho wake hapo hapaongopi tutarudi kule kule kuchapa noti kulipa watu mishahara fedha ukitumia leo kesho imechanika yote.

    ReplyDelete
  17. Give her a chance to prove

    ReplyDelete
  18. Rais naye anapenda mwenyewe kulaumiwa na wananchi wake daily,huyo alikuwa manager bank m,inaonyesha ata angekuwa Nmb au Nbc asingeweza,kwanza alipataje ata unaibu maana ndo umemfanya awe wzr leo,sifa yake kubwa uchawi,mshirikina huyo ukibishana naye leo kesho hufiki unakufa.

    ReplyDelete
  19. waendeshaji wa wizara ni makatibu wakuu, hawa mawaziri na manaibu ni mesenja tu. KWAHIYO TULIENI!

    ReplyDelete
  20. huu mama kaongoze familia

    ReplyDelete
  21. mm naona mawaziri wote ndio hao hao tukianza kuongelea tusipoint waziri huyo pro lipumba kuwa kiongozi mzuri usichague ukaongelea mmoja unakosea kuna mawaziri wengi tu hawana mana kazi kulala bungeni tu msiwe wenyewe kuchagua kwani mawaziri wote kazi yao kuwekwa hapo wakala wakaondoka basi

    ReplyDelete
  22. lets give her a chance wenye experience wamepewa they did nothing...kaza buti mama the road is tough ahead but you will make it by Gods grace

    ReplyDelete
  23. Huyo ni kuma tuuuuu anafirwa! kwani hamjui kwamba anajisogezea karibu dogodogo, huyo ni first Girlfriend a.k.a Shemejiiiiiiii waziri.

    ReplyDelete
  24. jamaa kamkubali mwenyewe tatzo li wap? ku..a zenu mbona na nyie mmeweka mademu kwenye 0fisi zenu?

    ReplyDelete
  25. Malaysia ni vyuo vya watu ambao hawakufikia viwango vya kujiunga na vyuo vikuu hapa nchini,kwa hiyo unakuta wengi wanaokwenda huko ni watoto wa wafanyabiashara au corrupt goverment officials.Mmeshasikia mtu kafeli Malaysia?wanachotaka ni kulipia ada tu.Huyu mama atayupoteza!

    ReplyDelete
  26. Huyu hana elimu wala uzoefu wa kuongoza wizara kama hii,Zanzibar ukivaa miwani unaonekana umesoma sasa wasituambukize lusumba hii,mpeni kazi nyingine kwenye chama.

    ReplyDelete
  27. kuungaunga hakumanishi hajasoma , hizo ndizo harakati binafsi hasa kwa wale kama mimi watoto wa wakulima na si watoto wa vgogo wanaotoboa 2 bila kutoka jashjo!

    ReplyDelete
  28. KUMBUKENI KESHO NI ARSENAL NA LIVERPOOL

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad