AGNESS MASOGANGE AWAPAGAWISHA WAKAZI WA DODOMA KWA MAUNO YAKE-DOLA ZAMWAGWA
9Udaku SpecialFebruary 23, 2014
Agness masogange alikuwa kivutio kikubwa pale walipokuwa wakicheza kwenye uzinduzi wa Pub Moja huko Mjini Dodoma..Mapendeshee wa huko walimwaga dola kama njugu kufurahia alichokuwa anafanya Agness Jukwaani kwa kukata Mauno..
Hongera zako
ReplyDeleteKazi kwenu wabunge wa bunge la katiba malaya ndo washaamia uko kuuza mbunye.
ReplyDeleteYaaan baadh ya wanawake wanavyo ishi!!! Ukiwa na hela Tu utawafanya unavyotaka
ReplyDeleteKama mambo yenyewe ndio haya huko Dodoma Sasa hivi utasikia wazee wa laki tatu hazitoshi wanadai waongezewe "masogange allowance"
ReplyDeleteHehehehehe umetisha na masogange allowance ni noma
Deletendo zao,ila aingezwi,laki 3nyingi ipunguzw kidogo...ikifika kipindi cha bunge dodoma ni uwanja wa ngono na hao vigogo
ReplyDeleteujinga
ReplyDeletepundaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa Malaya, wabunge mpooooooo zigo ndo limeisha jileta
ReplyDeleteDodoma hiyooooooo!! ndiyo maana laki tatu hazitoshi!!!!
ReplyDelete