Haya hapa ndio Aliyosema Zitto Kabwe baada ya tetesi kuwa posho ya wabunge wa katiba imeongezwa kutoka laki tatu mpaka tano
ALICHOANDIKA ZITTO KABWE BAADA YA TAARIFA KUENEA KUWA POSHO IMEONGOZWA KUTOKA LAKI 3 MPAKA 5
9
February 24, 2014
Tags
siyo kweli posho haijaongezwa, nimesikia leo kwenye habari asubuhi.
ReplyDeleteItabidi tu, nigombee ubunge kaahhh
ReplyDeleteushachelewa..wenzako zamani wanaua wapate ubunge,uwaziri,
DeleteHao wabunge waache usenge!!
ReplyDeleteWanajeshi wanalipwa sh ngap?
Wanapelekwa sudan na congo kupigania amani.. huko wana hatarisha maisha yao na wengine wanakufa kabisa!
Na hatujawahi kusikia wakigoma hata siku moja kwa huo mshahara wao mbuzi wanaopewa..
Hivi? Wanajeshi nao wakigoma hapa Tz kutakalika kweli?
wabunge,waziri wasenge wote ,walimu,madr wanateseka,kwa ujumla kila mtu anamatatizo,wao wamekalia usenge.kama huyo zitto mfyuux.bora wawakurupushe wote majambawazi!
Deletekuna watu wanaamka hata hawajui mpaka jioni watakula nini wao wanapinga posho ya laki tatu kwa siku ni ndogo jamani jamani muogopeni mungu jamani hivi hamna hata maadili ya dini hata kidogo ya kuwafikiria ambao hawana hivi kesho mtaenda kujibu nn kwa baba muumba kuhusu hizi nyazifa mlizopewa au mnafikiri ni kwa akili na nguvu zenu wenyewe???????????????????
Deleteeeh kweli hii seikal ni ccm (chukua chako mapema)
ReplyDeletejamani msiwe mnapenda kutukana matusi, kwani ukitoa maoni yako kwa busara utapungukiwa na nini, au matusi ni fashion
ReplyDeletekama hela ipo wapewe ccm ina hela ya kuwapa wanasiasa co wanataluma ukidai unaachishwa kazi walimu kaza buti 1+1=11 ipo siku serikali itatambua umuhimu wenu kwa ss acha ualimu kagombee uenyekiti wa mtaa utapata hela
ReplyDelete