BILL CLINTON NDANI YA KASHFA NYINGINE YA KUTOKA NJE YA NDOA NA KIMADA

Bill Clinton rais zamani wa Marekani aliwahi kuingia kwenye kashfa kubwa ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Monica Lewinsky ambaye alikuwa na miaka 22 kipindi hicho akifanya kazi kama intern ndani ya White house.
Skendo hiyo ilivyoendelea kuwa kubwa ilimpelekea hadi Bill Clinton kukanusha waziwazi kwa kusema kwamba hakuwa na mahusiano ya kimapenzi na miss Lewinsky kama ilivyokuwa inasemekana.

Kitu kipya ni kwamba mtandao mmoja huko Marekani ambao hutoa habari za kuaminika, umetoa habari na kusema kwamba Bill Clinton alicheza faulo nje ya ndoa yake na actress/model Elizabeth Hurley.

Ripoti ya mtandao huo unasema kwamba Bill Clinton alikuwa na uhusiano na model huyo kwa muda wa zaidi ya mwaka mzima bila mke wake Hillary Clinton kujua.
Ripoti hizi kama zikithibishwa ukweli ndani yake, zinaweza kuharibu harakati za Hillary Clinton ambaye anajiandaa kugombania urais mwaka 2016.
Hata hivyo mwanamitindo/muigizaji Elizabeth Hurley hakukaa kimya na kuandika tweet akikanusha taarifa hiyo na kusema kila kitu ameshawakabidhi wanasheria wake washughulikie hili swala.

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwacheni Bill ale vitamu, alifanya mambo mazuri compare na bush!!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Fashion siku hizi .Mimi mwenyewe 1000 percent ningelala nae .He is sexy handsome sitijali umri .Na ningemnyonya huyoooooo

      Delete
  2. dah mzee malaya..... Anazeeka nao

    ReplyDelete
  3. Mi mwenyewe namtaka

    ReplyDelete
  4. Nikimwona nachanganyikiwa duh very handsome

    ReplyDelete
  5. wabongo kwa umalaya utawaona tu comment zao

    ReplyDelete
  6. jembeeeee...

    ReplyDelete
  7. Lipi la ajabu!!' mbona usually tu! Mbona kuna mdada Wa kichagga Anatolka na Obama!! Wa jiji la Arusha!!!! Hii Ni laana ya Adam na Eva!!!

    ReplyDelete
  8. Hata mi namfahamu!!! Ila anajiheshimu sn, pia ana hekima sn!!! Namjua Huyu demu!! Amepanda hewani! Ana meno meupeee!! Hana makuu! Yuko Arusha! Ni Mchagga Wa Machame.

    ReplyDelete
  9. kwani akitoka na obama tatizo nini . obama si kashamtema yule mama mwenye sura nzito japo anaakili sana.mwache apate pumziko. aende moshi kula ndizi na mbege. kumamaae zake obama

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad