Mtanzania Hasheem Thabeet amejikuta akikumbwa na hofu ya kupoteza namba yake baada ya mchezaji Steve Adams anayechipukia raia wa New Zealand ambaye amesajiliwa mwaka jana na club ya Oklahoma city thunder alisainiwa na timu hiyo july 2013 mpaka sasa ameonyesha uwezo mzuri hvyo kutishia namba ya Hasheem, tangu asajiliwe amefanikiwa kufunga point 17 rebounds 10, assist 3 na blocks 3 ambapo ana wastani wa point 3.8 na rebound 4.6...
Kutokana na umahiri huo kumekuwa na vita ya namba baina ya wachezaji hao
ukishajua nin maana ya udaku special...
ReplyDeleteHuwezi kuumiza kichwa
ha ha haa...nimeipenda hii
DeleteHaaaahaaaa umetisha mdau ukisha juwa maana ya udaku special.....
ReplyDeleteKama badala ya kufanya zoezi la ziada wakati wa mapumziko ya ligi "NBA" na badala yake unaenda kutanua "Bongo" je, unategemea nini?
ReplyDeleteExactly, wakati wa mapumziko ndio hasa unaangalia zile weak points na kuzifanyia kazi, na sio kwenda vacation. Halafu vacation yenyewe Bongo, nyama choma, bia na kutafuta umaarufu usiokuwa na maana kwa mademu fake wa Bongo movie. Duh! Kaula huyo.......
DeleteWote mnaemuombea ashuke chini, mtashuka wenyewe. Wabongo noumer sana. We udaku naona sasa umekosa vya kuandika.
ReplyDeleteNa watu wa udaku siku zote ni vigumu kutangaza mafanikio ya mtu bali husubiri akijikwaa mahali ndo waanze na breaking news zao..hiyo roho mbaya..
ReplyDeleteUkweli uanjani.the boy is weak. msimtetetee kama mashabiki .number zake zimeshuka sana na mzima kushuka. Ajitahidi kugombania number yake la sivyo box linamsubiri.
ReplyDeleteKama hufahamu huu mchezo wa basketball si lazima kuchangia, na hii is not a politics, this boy's game is below satisfaction. Chances za kumweks bench ni kubwa this time around hasa ukizingatia Oklahoma wana the best record in the league so far. Hawatataka kuivuruga.
ReplyDelete