Mchungaji Mtikila leo huyu jamaa amekandia bunge lote la katiba na kusema anasikitka soon atalicha bunge hilo mana limechaguliwa kihuni.
Nasema hivi wambieni kabsa nimesema hili ni bunge la kihuni limechaguliwa kihuni ndio maana unakutana na mambo ya kishenzi mnayoendelea kuyaona.
Nasema tangia uhuru sijapata kuona bunge la kihuni kama hili.
Sitoshangaa maamuzi ya kihuni na kishenzi kutokea siku tunaagana pale nje.
Huyo ni rev. Christopher Mtikila.
Source: BBC swahili
huwezi kuwatukana watu na heshima zao we mtikila, au ndo bado unaendelea kutafuta umaarufu kama kaiwaida yako, kwa hiyo hata wewe ni muhuni na mshenzi pia maana na wewe uko humo, shame on yuo guy hunaga point always u a negative
ReplyDeleteKwani ulilazimishwa kwenda ulipoteuliwa na rais? nahisi ulikuwa una uhuru wa kukubali uteuzi au kuukataa kama ulijua kuwa ni bunge la wahuni na washenzi kwa nini ulikubali kwenda kama wewe sio muhuni na mshenzi. I hate wanasiasa wanaokandia kila jambo linalofanyika hata liwe zuri nyie kazi yenu ni kukandia tu, ina maana tangu tupate uhuru hakuna jambo zuri ambalo serikali imewahi kulifanyia taifa hili???? Shame on you.
ReplyDeletenipe tano mdau
Deletehuna jipya hata mkeo muhuni
ReplyDeletemimi napita tu
ReplyDeleteMtikira acha kutukana wewe ni mtu mzima bwana
ReplyDeletemtikila naye ni mshenzi tu mimi mwenyewe kawahi kunichokoza kisa nimevaa hijabu akaanza kukandia waislam ili nimjibu atoke gazetini maana alikuwa na mwandishi wa habari hana jipya agange njaa aondoke zake akapeperuze bendera yake ile ya TANU yenye rangi mbili kwanza amshukuru baba Lizi kamtoa maana tulikwisha msahau ati atatoka atoke anamtishia nani nyau
ReplyDeletechunga kondoo hao hakikisha hawapigani mangumi
ReplyDeleteHaha ha ha,mdau,umetisha,achunge hao wahuni,make undo kazi take,ila LS mchungaji hizo laki Tatu tatu,ukumbuke zaka ya bwana
DeleteNi kwamba Mtikila hajui kujieleza lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni!Chenge aliendesha gari akitumia bima ya kugushi,akauwa watu wawili,akahukumiwa faini ya laki 5,ni tusi kubwa kwa Taifa,wizara ya sheria nk.Mahalu kaachiwa kinamna kwa kesi ya wizi na hwa wako wengi ambao sio waadilifu kwenye bunge hili.Hata Ditopile angekuwepo Kikwete angemchagua.Kwa hiyo hii inatoa picha kalisi ya watanzania walivyo kwani uongozi wa nchi yeyote unatoa picha ya wananchi wake.
ReplyDeleteHuyu mzee nahisi zimepungua kidogo
ReplyDeleteWALE WALE ANAJIZUNGUMZISHA TU
ReplyDeletekapona maana kurasini juzz tu alipigwa kwa sababu ya kutafuta umaarufu akashonwa nyuz za kutosha tu hospitali
ReplyDelete